OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Yes! kwanza oangezewe kipondo kikali zaidi ili awahi kwenye meza ya mazungumzo na kukubaliana na masharti husika i.e. kwanza aondoshe wanajeshi wake wote kutoka kwenye ardhi ya Ukraine ndipo lomoni' (mazungumzo) yatawezekana. Tofauti na hapo acha Mtanange uendelee kama kawa.Urusi kasema yuko tayari kwa Mazungumzo