Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukraine imekomboa Wilaya ya Snigurivka Mkoa wa Mykolaiv
View attachment 2412510
Nadhani ndo ilikuwa imebaki wilaya pekee ambayo ilikuwa haijakombolewa kwa mkoa wa Mykolaiv. Nadhani vijiji vyake vyote vitakombolewa muda si mrefu.

Pia Pravdyne iliyoko Kherson tumeikomboa kwa mara ya tatu (3) tena. Hapa palikuwa pagumu sana. Wagner walikuwa hawataki kuiachia kabisa kama ilivyokuwa Bakhmut.
 
Sasa wametaka kwa nguvu Watake-wasitake; OUT, out! 😳 😳
 
Mji wa Mylove huko Kherson umekombolewa pia
20221111_050433.jpg
 
Wananchi wa Mkoani Kherson wakifurahia kuwaona Frontline wa Ukraine kwa mara nyingine. Urusi walikuwa wamekalia haya maeneo kimabavu kwa kuwatesa na kuwanyanyasa watu wanaohisiwa bado wanataka wawe Ukraine si Urusi. Ukoloni uhapitwa na Wakati. Ukraine wameweza kukomboa miji ya Borozenske, Bruskinske Kyselivka Mkoani Kherson.
 
Back
Top Bottom