figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #8,441
Majeshi ya Ukraine yanapokelewa kwa shangwe Kherson.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, haraka ya nini watu wenyewe wameshakimbia.Huyu ni mshauri wa Rais wa Ukraine, anaitwa Mykhailo Mykhailovych Podolyak.
Anasema walijua Urusi wataacha wametega mabomu pia Wataacha Snipers. Tumejiandaa vyote na tunaingia taratibu hatua kwa Hatua na Kwa umakini Mkubwa. Ni ardhi yetu haihami sasa haraka ya nini?
View attachment 2412909
Sikutegemea kama Warusi wanaogooa Mbu hivi.Ni kweli, haraka ya nini watu wenyewe wameshakimbia.
Kama Kherson wameiachia kwa shuruti, na kwa kuzingatia kuwa eneo kubwa la Kherson ni tambalale hata namna ya kujificha ni ngumu.Majeshi ya Ukraine yanapokelewa kwa shangwe Kherson.
View attachment 2412907
Kweli Ukraine ilikuwa imejiandaa. Jamaa amelipua mabomu mengi kwa wakati mmoja.Hawa ndo wasafisha njia Frontline kuhakikisha wanapopita mabomu yanateguliwa. Wanategua na kuyalipua.. Baadaye ndo Silaha zinaanza kupita
View attachment 2412912
Eti super power. Karne hii super power anatumia ramani za kwenye makaratasi vitani.😂😂Warusi wanaelekezana jinsi ya kuikimbia Ukriane. 🤣🤣🤣
View attachment 2412922
😂😂😂 hapo hawajawaona mbu, wametishiwa tu wakaona isiwe tabu wakasepa. Wangewaona ingekuwaje 😂😂😂.Sikutegemea kama Warusi wanaogooa Mbu hivi.
Pia Urusi Vita ya Porini hawaitaki wanaogopa, wanataka Mjini ili wabomoe nyumba za watu na Miundombinu kwa kudai adui alikuwa kajificha humo.
Pili wajue Hakuna HIMARS itapelekwa Frontline. Zipo nyuma sana karibia km 100+. Na inapiga kutokea huko huko
Inatia moyo sana. Hawa watu wameteseka mpaka unalazimishwa ukane uraia wako, usipofanya hivo unakuwa adui wao. Kwa nini wasifurahi wanapoona nchi yao imekombolewa.Wananchi wa Kherson wanavyo pokea Frontline wa Ukraine
View attachment 2412930
They deserve " pongezi" for well done job. 👏👏Leo nashare video ya Madaktari wa Frontline. Wanafanya kazi nzuri sana na wameokoa watu wengi sana... Mungu awabariki Madaktari dunia nzima waliojitolea kusaidia Ukraine Frontline
View attachment 2412931
Aisee najaribu kuwaza huko yanapoenda kudondokea..Kwa Moto huu wa Maroketi, ni haki yao kuikimbia Kherson
View attachment 2412942