Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huyu ni mshauri wa Rais wa Ukraine, anaitwa Mykhailo Mykhailovych Podolyak.
Anasema walijua Urusi wataacha wametega mabomu pia Wataacha Snipers. Tumejiandaa vyote na tunaingia taratibu hatua kwa Hatua na Kwa umakini Mkubwa. Kherson ni ardhi yetu haihami sasa haraka ya nini?
20221111_070955.jpg
 
Huyu ni mshauri wa Rais wa Ukraine, anaitwa Mykhailo Mykhailovych Podolyak.
Anasema walijua Urusi wataacha wametega mabomu pia Wataacha Snipers. Tumejiandaa vyote na tunaingia taratibu hatua kwa Hatua na Kwa umakini Mkubwa. Ni ardhi yetu haihami sasa haraka ya nini?
View attachment 2412909
Ni kweli, haraka ya nini watu wenyewe wameshakimbia.
 
Ni kweli, haraka ya nini watu wenyewe wameshakimbia.
Sikutegemea kama Warusi wanaogooa Mbu hivi.

Pia Urusi Vita ya Porini hawaitaki wanaogopa, wanataka Mjini ili wabomoe nyumba za watu na Miundombinu kwa kudai adui alikuwa kajificha humo.

Pili wajue Hakuna HIMARS itapelekwa Frontline. Zipo nyuma sana karibia km 100+. Na inapiga kutokea huko huko
 
Majeshi ya Ukraine yanapokelewa kwa shangwe Kherson.
View attachment 2412907
Kama Kherson wameiachia kwa shuruti, na kwa kuzingatia kuwa eneo kubwa la Kherson ni tambalale hata namna ya kujificha ni ngumu.

Sasa tutashindwa kweli kumfurusha NDULI Donetsk. Mkoa wa Kherson ukichukuliwa wote, lazima warusi wa Crimea waanze kuhama maana watajua what is Next.
 
Leo nashare video ya Madaktari wa Frontline. Wanafanya kazi nzuri sana na wameokoa watu wengi sana... Mungu awabariki Madaktari dunia nzima waliojitolea kusaidia Ukraine Frontline
 
Sikutegemea kama Warusi wanaogooa Mbu hivi.

Pia Urusi Vita ya Porini hawaitaki wanaogopa, wanataka Mjini ili wabomoe nyumba za watu na Miundombinu kwa kudai adui alikuwa kajificha humo.

Pili wajue Hakuna HIMARS itapelekwa Frontline. Zipo nyuma sana karibia km 100+. Na inapiga kutokea huko huko
😂😂😂 hapo hawajawaona mbu, wametishiwa tu wakaona isiwe tabu wakasepa. Wangewaona ingekuwaje 😂😂😂.

Porini kikosi cha Drones kinawatesa sana hadi unawahurumia. Mtu anaomba msamaha Drone akiona hali tete😂😂😂.

HIMARS anaogopwa na Mrusi. Bila HIMARS kafanya yake, Kherson wasingeikimbia kamwe. Wangekaza fuvu kama ilivyo kwa Donetsk
 
Back
Top Bottom