Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

20221111_131712.jpg
 
Pro Russia hawana hamu hizi siku mbili. Eti walishaanza kusema Kherson ni Urusi. Sijui sasa watasemaje, kwa akili yao watasema ukraine imevamia Kherson. 😂😂😂
Walikuwa wanasema eti ile decree ya Putin itaongezwa nguvu kwa kuwa Kherson ni Urusi na Ukraine wataonekana kama wavamizi hivyo kumfanya Putin aruhusu nguvu kubwa zaidi itumike!
Kimsingi PuT In NI Mpuuzi sana, watu wenye akili wamemdharau sana.
 
Sijui wanaficha wapi sura zao. Sijui wqtatuambia nini. Kwa ufupi ni Mikoa yote inarudi. Sifuti
Sijaamini macho yangu. Ukraine troops wako katikati ya jiji la Kherson na vifaru vyao. Wilaya zote mbili (2) na mitaa yake yote katikati ya jiji upande wa western bank of Dnipro river zote ziko under control of Ukrainian troops. It is unbelievable.

Nadhani kazi kubwa iliyobaki ni kusafisha uchafu ulioachwa na warusi (mabomu) na kuwasaka masalia ya warusi waliojificha kwenye nyumba za watu kama raia.

Hongera sana ukrainian troops, leo mmepiga show ya maana.
 
Walikuwa wanasema eti ile decree ya Putin itaongezwa nguvu kwa kuwa Kherson ni Urusi na Ukraine wataonekana kama wavamizi hivyo kumfanya Putin aruhusu nguvu kubwa zaidi itumike!
Kimsingi PuT In NI Mpuuzi sana, watu wenye akili wamemdharau sana.
Amejidhalilisha mwenyewe hadharani machoni pa mataifa.
 
Walikuwa wanasema eti ile decree ya Putin itaongezwa nguvu kwa kuwa Kherson ni Urusi na Ukraine wataonekana kama wavamizi hivyo kumfanya Putin aruhusu nguvu kubwa zaidi itumike!
Kimsingi PuT In NI Mpuuzi sana, watu wenye akili wamemdharau sana.
Watawala wa Kherson wamekimbilia Crimea. Watakuwa wanabweka wakiwa Crimea.

Swali la kujiuliza Crimea sasa ina watawala (appointed administrator) wawili (wa Kherson na Crimea) au mmoja atarudi kwao.
 
Walikuwa wanasema eti ile decree ya Putin itaongezwa nguvu kwa kuwa Kherson ni Urusi na Ukraine wataonekana kama wavamizi hivyo kumfanya Putin aruhusu nguvu kubwa zaidi itumike!
Kimsingi PuT In NI Mpuuzi sana, watu wenye akili wamemdharau sana.
Nguvu gani aliyonayo ambayo hajaitumia?
 
Hapa ndo yalikuwa makao Makuu ya Urusi huko Kherson. Yaani Putin angekuja angefikia hapa. Sasa hivi wananchi wanajipiga Selfie🤣🤣. Pia wameweka na bendera ya Ulaya
20221111_153229.jpg
 
Kituo cha Polisi Kherson, Bendera ya Ukraine imepandishwa. Hadi kukuche itakuwa mwemelemwemele. Huyu ambaye hajavaa Uniform Wamefika jana jioni. Yupo SOF(Kikosi Maalum)
 
Back
Top Bottom