Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Azov wakiwa full yaani Silaha, Risasi, Maji, Vyakula, Magenerator ya Umeme na Madaktari wao, wapo Kherson tayari
20221111_155508.png
 
Hatimaye jioni ya tarehe 11.11.2022, Batalioni ya Azov wamefika Katikati ya Mji Mkuu wa Kherson na Kupokelewa na Wananchi. Mungu ni Mwema💪. Watu wanalia kwa Furaha
 
Baada ya Kherson, Zaporizhzhia ikae tayari. Wanajeshi wakishaweka Frontline japo Mbili, wanaobaki wanaenda saidia bakhmut huko Donetsk. Hatutawaruhusu Urusi wameze Mate
View attachment 2413574
Frontline iliyoko direction ya Malynivka ikiweza kutoboa kuja Melitopol, Zaporizhzhia na Kherson yote wanaitema kama nyani kutema bungo. Hiyo itaweza kukata supply ya vifaa vya mrusi kuja Zaporizhzhia na Kherson.
 
Kherson hakuna njia tena wala hakuna kinachokuja. Daraja wamebomoa wenyewe
 
Back
Top Bottom