figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #8,421
Wananchi wa Kherson wakifurahia Ujio wa Frontline wa Ukriane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miji inarudi kwa speed ya kimondo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Wananchi wa Mkoani Kherson wakifurahia kuwaona Frontline wa Ukraine kwa mara nyingine. Urusi walikuwa wamekalia haya maeneo kimabavu kwa kuwatesa na kuwanyanyasa watu wanaohisiwa bado wanataka wawe Ukraine si Urusi. Ukoloni uhapitwa na Wakati. Ukraine wameweza kukomboa miji ya Borozenske, Bruskinske Kyselivka Mkoani Kherson.
View attachment 2412842
Sasa hivi vijiji vyake vyote viko chini ya Ukraine. Mkoa wa Mykolaiv wote umekombolewa.Snihurivka imekombolewa. Ukraine wanaendelea kusonga Mbele hatua kwa hatua na Umakini Mkubwa. Sema kuna sehemu unakuta Urusi wametega mabomu ya Ardhini zaidi ya elfu moja. So mnategua then mnasonga mbele.
View attachment 2412875
Kumbe ndiyo maana walikuwa wanalazimisha wananchi wote waondoke.Urusi kuna kitu wamefanya cha aibu Kherson. Wameacha wametega mabomu ya Ardhini kila sehemu. Makaburini, sehemu za ibada, kwenye maji taka na safi, maofisini, makazi ya watu na Mashuleni. Kumbuka haya mabomu yalishapigwa marufuku.
HPD F2 Mines zilipigwa Marufuku na Mkutano wa mwaka 1980 Geneva Convention on Unconventional Weapons. Sababu yanaweza kikaa hata miaka 5 bila kulipuka, mtu akilipitia linalipuka. Hii ni Teknolojia ya Ufaransa.
View attachment 2412885
Na Ukriane wakishakamata sehemu sasa hivi wakaweka line yao, kuwaondoa ni kazi. Watu wameshaiva.Kumbe ndiyo maana walikuwa wanalazimisha wananchi wote waondoke.
Hata hivo Ukraine wako vizuri. Eneo walilosonga mbele kwa jana ni kubwa sana. Mpaka Jumapili huenda jiji la Kherson lote litakuwa mkononi mwa Ukraine.
Upande wa khersona Kuna wanajeshi zaidi ya 50k hakuna daraja wanatumia fery kuvuka jumlisha vifaa lazima iwe process ya taratibuIt seems to be a trap, intelligent info confirmed that there are no signs of Russia troops to move out of the city. Some are staying at resident houses.