figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #8,401
Ukraine imekomboa Wilaya ya Snigurivka Mkoa wa Mykolaiv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji91][emoji91][emoji91]Dj Tuleteee warusi wa Tandahimba ndani ndaniUkraine imekomboa Wilaya ya Snigurivka Mkoa wa Mykolaiv
View attachment 2412510
Hawajawahi kushindwa kamwe.Anatamani aondoke ila sasa itakua fedheha ku bwa. Huko Kherson hali si hali[emoji2][emoji2][emoji2]
West wakikomaa kumpa suport mtu huwezi shindana nao.
Nadhani ndo ilikuwa imebaki wilaya pekee ambayo ilikuwa haijakombolewa kwa mkoa wa Mykolaiv. Nadhani vijiji vyake vyote vitakombolewa muda si mrefu.Ukraine imekomboa Wilaya ya Snigurivka Mkoa wa Mykolaiv
View attachment 2412510
Sasa wametaka kwa nguvu Watake-wasitake; OUT, out! 😳 😳Nadhani ndo ilikuwa imebaki wilaya pekee ambayo ilikuwa haijakombolewa kwa mkoa wa Mykolaiv. Nadhani vijiji vyake vyote vitakombolewa muda si mrefu.
Pia Pravdyne iliyoko Kherson tumeikomboa kwa mara ya tatu (3) tena. Hapa palikuwa pagumu sana. Wagner walikuwa hawataki kuiachia kabisa kama ilivyokuwa Bakhmut.
Kwani kurudia kupost picha ya Warusi waliokufa ni dhambi? Mbona kama tunapangiana cha kupost?
Valerii Zaluzhnyi, iron general, commander-in-chief of the Armed Forces of Ukraine
View attachment 2411968