OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Good morning sir. Hope Ur OK.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good morning sir. Hope Ur OK.
Eeenhe! Hivi uyoga unaotaga huko?Ukiacha Mbu, pia wana Nyuki ambao wamefundishwa Mambo ya Vita.. Kwahiyo inategemeana na Wakati na Sehemu. Hapa ni Nyuki wa Ukraine waliofundishwa kutengeneza nembo ya Taifa la Ukraine. Jeshi la Nyuki
View attachment 2411102View attachment 2411103
Nembo ya Ukraine.
Ila wamechagua na wanajua kufa kupa kutokana na uchaguzi wao.Ndio maana tunatakiwa kuwaheshimu sana wanajeshi e.g. Hapa Tz ni JWTZ kwani wao huenda huko Frontline (Hatarini - killing zone) kwa niaba yetu, wanajitolea maisha yao(Uhai) kwa niaba yetu - Tuwaheshimu na tuwapende hao waliojitoa muhanga kutetea mustakabali wa Uhai wetu.
Na hiyo mikoa hawajaichukua yote, kuna sehemu nyingi bado mapigano yanaendeleaSio tatizo.. Ndani ya Mikoa 28 ya Ukriane, Urusi iliteka mikoa 13, hii wamebaki na mikoa minne tu. Tatizo silioni. Kama tuliwafurumusha mikoa 9, hata hii tutaweza. Ukraine ilikuwa nchi ya amani. Crimea wakawachia Urusi bila vita mwaka 2014, Urusi wakanogewa sasa wanataka mikoa 5. Tutafia hapo na hawatachukua kitu
very dangerous,hio sio plague ya dunia imeannza hivo???Ukraine wamesema wanamobilize Mbu laki tatu. Ambao watasambazwa kwa kutumia drone thidi ya maadui. Mbu watakuwa na Uwezo wa kunyong'onyesha adui atakayeng'atwa na kumfanya aishiwe nguvu kwani ni Mbu waliobeba maradhi. Ukraine inaanza vita ya Kibailojia. Wanajeshi wamesha fundishwa na Tangazo kimetolewa
View attachment 2411089
....Watakuwa selective kwa Russians tu?Ukraine wamesema wanamobilize Mbu laki tatu. Ambao watasambazwa kwa kutumia drone thidi ya maadui. Mbu watakuwa na Uwezo wa kunyong'onyesha adui atakayeng'atwa na kumfanya aishiwe nguvu kwani ni Mbu waliobeba maradhi. Ukraine inaanza vita ya Kibailojia. Wanajeshi wamesha fundishwa na Tangazo kimetolewa
View attachment 2411089
Sijaelewa hao mbu watapewa maradhi maalumu ya kumyong'onyesha adui au ni mbu tu hawahawa?na je kwa sheria za kimataifa inaruhusiwa?Ukraine wamesema wanamobilize Mbu laki tatu. Ambao watasambazwa kwa kutumia drone thidi ya maadui. Mbu watakuwa na Uwezo wa kunyong'onyesha adui atakayeng'atwa na kumfanya aishiwe nguvu kwani ni Mbu waliobeba maradhi. Ukraine inaanza vita ya Kibailojia. Wanajeshi wamesha fundishwa na Tangazo kimetolewa
View attachment 2411089
Wanawezaje kumtofautisha adui na maboss wao[emoji3]Nyuki wa Azov
View attachment 2411111
Hawa ni Mbu wametengenezwa maabara. Mbu, nyuki, Popo na ndege wadogo wadogo, wote wametengenezwa maabara. Wamefundishwa mambo mengi ya kivita. Mimi sijawahi shuhudia Mbu wa kutumwa wakiwa frontline. Tusubiri tuone..Sijaelewa hao mbu watapewa maradhi maalumu ya kumyong'onyesha adui au ni mbu tu hawahawa?na je kwa sheria za kimataifa inaruhusiwa?
Ndio....Watakuwa selective kwa Russians tu?
Ok, asanteHawa ni Mbu wametengenezwa maabara. Mbu, nyuki, Popo na ndege wadogo wadogo, wote wametengenezwa maabara. Wamefundishwa mambo mengi ya kivita. Mimi sijawahi shuhudia Mbu wa kutumwa wakiwa frontline. Tusubiri tuone..