Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa ni Wanajeshi 21 wa Urusi(Mobilized) wamejisalimisha wenyewe kwa Ukraine huko Luhansk, baada ya kuona moto wa Ukraine hawauwezi na wenzao wengi wamepoteza maisha. Waliachwa kwenye mahandaki bila chakula maji wala mawasiliano

 
20221108_054018.jpg
 
Urusi na Ubabe wake wote, anaiogopa uturuki. Juzi Urusi ilijifanya kuzuia Nafaka, uturuki ikapeleka Meli nza Ulinzi zikasindikiza Meli za mizigo ya Mazao kutoka Ukraine, urusi wakaufyata. Kuna Meli mbili za kivita zilikuwa zinakuja Ukraine kushambulia, akazikataza kwenye bahari yake na kuzishikilia tangu 2 Februari 2022 hadi leo amezishikilia. Sababu alisema meli isiende mbele wala kurudi nyuma hadi ajiue zimebeba nini. Leo Novemba ndo kaziachilia kwa kusema Zilirudi zilipotoka urusi vinginevyo zitalipuliwa. Zimerudi kweli.. Kweli uturuki ni noma.. Zilikuwa zinatokea Vladivostok Urusi, amewaambia asizone tena Black sea
1667898721449.png
1667898747909.png
 
Back
Top Bottom