Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi kasema yuko tayari kwa Mazungumzo
Yes! kwanza oangezewe kipondo kikali zaidi ili awahi kwenye meza ya mazungumzo na kukubaliana na masharti husika i.e. kwanza aondoshe wanajeshi wake wote kutoka kwenye ardhi ya Ukraine ndipo lomoni' (mazungumzo) yatawezekana. Tofauti na hapo acha Mtanange uendelee kama kawa.
 
Kwa hizi Kauli za Warusi, muda si mrefu mtasikia tunaiachia Kherson for good Wil. Leo Urusi Wamepigwa kama ngoma🤣🤣🤣
View attachment 2411599
We bhana wee! Mrussi aseme asemacho cjui ni for good will au ni for Gods sake au ni for good health blaa-blaa, Shit! Sisi tunachojua ni kwamba Mrussi kafurumushwa, kabamizwa, katwangwa, kapewa kipondo hadi kasalimu amri. Hayo maneno mengine ni siasa-mfu tu hayasaidii chochote. Aondoke - full stop.
 
Wanajeshi wa Urusi elfu 40, wameamliwa kuretreat haraka Kherson na kuelekea Magharibi mwa mto Dnipro. Maana yake wanaelekea Crimea. Wametelekeza Vifaru vingi sana.. Ukraine wanaingia kwa akoli wasiingie mtegoni. Zinatangulia drone then wapelelezi.. Kukikucha ni habari mpya. Urusi wameshindwa upande wa logistics
20221109_204805.jpg
 
Pro Urusi watatuambia nini mtandaoni kama kweli Urusi ikiretreat kutoka Kherson. Walipiga kura wakasema wananchi wamewachagua kwa 99%. Leo wanawaacha Wananchi wenyewe jamani🤣🤣🤣. Urusi wa kwa mpalange wataficha wapi sura zao
20221109_213404.jpg
 
Kwisha sisi Tena hayo maumbu yafike Afrika![emoji88]Kuna mengine ya aina yako Nakuru Kenya sehemu flani,yakikushambulia yanaacha mayai baada ya siku moja unaanza kutokeza minyongororo yanatambaa kwa ngozi unaliwa hai Kama cancer[emoji85]sijui ilikuwa experiment ya hao mabeberu??waaah dunia hatari!!!
Hatari sana.
 
Back
Top Bottom