Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hatimaye jioni ya tarehe 11.11.2022, Batalioni ya Azov wamefika Katikati ya Mji Mkuu wa Kherson na Kupokelewa na Wananchi. Mungu ni Mwema💪. Watu wanalia kwa Furaha
Your browser is not able to display this video.
 
Baada ya Kherson, Zaporizhzhia ikae tayari. Wanajeshi wakishaweka Frontline japo Mbili, wanaobaki wanaenda saidia bakhmut huko Donetsk. Hatutawaruhusu Urusi wameze Mate
View attachment 2413574
Frontline iliyoko direction ya Malynivka ikiweza kutoboa kuja Melitopol, Zaporizhzhia na Kherson yote wanaitema kama nyani kutema bungo. Hiyo itaweza kukata supply ya vifaa vya mrusi kuja Zaporizhzhia na Kherson.
 
Kherson hakuna njia tena wala hakuna kinachokuja. Daraja wamebomoa wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…