figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #8,641
Hatuwezi sema Kashindwa nchi nzima wakati kuna maeneo kayakalia kimabavu. Wanafurahia kurudi kwa Mji wa bandari Kherson.Nchini Ukrain ni sherehe nchi nzima yaani mrusi kashindwa vita rasmi
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kha! Kwanza siku yenyewe ya kupiga kura Mahudhurio kwenye vituo vya kupiga kura ni sifuri (0). Watakuwepo Msimamizi wa Uchaguzi, Msaidizi wake na Mgambo wa kulinda Amani (lakini ni analinda masanduku ya kura) basi.Sasa Urusi waje Kherson waendeshe zoezi la kura tuone wanapata ngapi
View attachment 2414649
Very Nice. Sema ukweli hata kama ukweli huo unauma kuliko kujidanganya au kujifariji.Hatuwezi sema Kashindwa nchi nzima wakati kuna maeneo kayakalia kimabavu. Wanafurahia kurudi kwa Mji wa bandari Kherson.
Bado hatujashinda hadi tushinde. So wanajeshi wa Ukraine waendelee kukaza, wasiwasikilize orcs wanaodai Ukraine kashinda Nchi nzima