Slava Ukraine [emoji1255]Rais Zelensky akiimba wimbo wa Taifa wakati wa kupandisha Bendera Mjini Kherson yalipokuwa Makao Makuu ya Urusi
View attachment 2416715
Supa pawa wa kuunga unga mwana. Mpaka wanafunzi[emoji1][emoji1][emoji1]Mwanafunzi wa Zambia - ambaye alikuwa akitumikia kifungo nchini Urusi - aliuawa kwenye mstari wa mbele nchini Ukraine katika mazingira yasiyoeleweka, waziri wa mambo ya nje wa Zambia ameambia kikao cha wanahabari katika mji mkuu Lusaka.
Lemekhani Nyirenda, 23, alikuwa akisomea uhandisi wa nyuklia katika Taasisi ya Fizikia ya Uhandisi ya Moscow, lakini mnamo 2020 alihukumiwa kifungo cha miaka tisa jela kwa kosa ambalo halikutajwa. Atakuwa alikutanana Azov
View attachment 2416885
View attachment 2416886
Hahahaa. Putin kazi anayo. Wanamkataa kwa sababu ananuka damu za waUkraine wasio na hatia alowauwa kikatili na kuchukua ardhi yao kibabe. Sasa anatapatapa na kuzunguka huku na huko na libarua lake la maombi mkononi.Wanamtaka sharti akanawe kwanza(akatawaze) awe na udhu ili aweze kuketi na waungwana mezani.Rais wa Marekani Joe Biden, amekataa kufanya mashauriano na Urusi bila Ukraine kishirikishwa. Urusi iliomba Marekani iingilie kati ili kufanikisha mazungumzo kati ya Ukraine na Urusi
View attachment 2417165
Safii na tena waondoke hadi Crimea la sivyo hakuna mazungumzo ni moto tu..UN yapiga kura Urusi iilipe Uoraine fidia kwa sababu ya uvamizi wake!
Azimio limepita kwa kura 94 kuunga mkono, kura 13 kukataa na kura 74 kuabstain
Hakika Mrussi sasa anaonja joto ya jiwe. Anajuta kuivamia Ukraine. Ni aibu sana kwa Mbabe, Komandoo na Superpower kukimbizwa kama mwizi(kibaka).Hiki kikosi kinaitwa Special Purpose Regiment Safari. Kimekatiza mto Dnipro kuwafuata Urusi walipokimbilia. Hawajaenda na kifaru hata kimoja, wamesema watavikuta huko kwani watawanyang'anya Urusi
View attachment 2417198
Anaota jua kama mamba πππππ