Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Safi sana mheshimiwa zelensky
Mh. Zelenskyy ni kijana shupavu sana, ana ushawishi na mtu mwenye msimamo usioyumba.

1. Jeshi la Ukraine linamtii na kumpenda sana.

2. Raia wa Ukraine wanampenda sana

3. Yuko vizuri kwenye Diplomasia na nchi yake ina mahusiano mazuri na nchi nyingi za EU na USA. Eneo hili kalifanya vizuri sana. Bila kuwa na ushawishi EU, NATO, USA wangemwangalia tu na wasingemsaidia.

4. Putin alimdharau Mh. Zelenskyy, hakujua karama aliyonayo na ushawishi wake kwa nchi tajiri.

5. Putin kuanza kuibembeleza na kuomba Uturuki na USA ili imshawishi Mh. Zelenskyy akubali mazungumzo wayamalize ni ishara kuwa sasa kiburi na dharau za Putin zimeanza kutoka. Vijana wanasema Putin katolewa wenge, sasa akili imekaa sawa.

6. Ni ukweli usiopingika kuwa Putin hajataka mazungumzo ili wamalize vita la hasha, anajaribu kutafuta uchochoro wa kuepuka aibu.
(a) Vikwazo vya kiuchumi vimembana mbavu. Uchumi wake umesinyaa sana, hataweza kuhimili vita ikiendelea.

(b) Vikwazo vya kuzuia suppliers wasimuuzie Russia materials kwa ajili ya kutengeneza silaha, kumemfanya production capacity ya military equipment & supplies iwe chini sana.

(c) Kashajua kuwa vita kashindwa na kwamba hata Crimea sasa inarudi Ukraine.

(d) Manpower (Skilled & Experienced Soldiers) yenye uzoefu kwenye vita imepungua na vita ikiendelea hali itakuwa mbaya.

(e) Upungufu wa silaha ni sababu mojawapo inayomsukuma kuomba mazungumzo ya kusitisha vita.

(f) Pressure ya ndani inazidi kuwa kubwa, hata waliokuwa wanamuunga mkono kuivamia Ukraine wameanza kumgeuka. Wanasema amepeleka wanajeshi kwenda kuuawa. Kiongozi wa Chechen na Wagner group nao wanasema kuwa jeshi la Urusi ni dhaifu na hawa silaha Bora. Hii si ishara nzuri kwa Putin.

Mh. Zelenskyy anatakiwa akanyagie mafuta pale pale na aongeze nguvu zaidi, mpaka Putin adondoshe taulo na kuchutama.
 
Rais wa Ukraine Mheshimiwa Zelensky amesema, ameomba majadiliano miaka miwili kabla ya Vita lakini walikuwa wanamkatia simu. Wanamdharau. Urusi wamekuwa wakiua Wananchi wetu. Sasa hivi jeshi lao limezidiwa na kukosa mwelekeo, eti ndo wanaomba majadiliano.

Putin anataka majadiliano huku ameshika Mtutu wa Bunduki, huku anashambulia Kyiv kwa Missiles. Aweke Silaha chini, aondoke kwenye Ardhi yetu ndipo aombe Majadiliano.
View attachment 2414960
Mkuu, Zelensky Rais wa Ukraine; shikilia msimamo huo huo usimwachie nafasi huyo Mzee Putin ni mjeuri sana - Hafai huyo.
 
Mh. Zelenskyy ni kijana shupavu sana, ana ushawishi na mtu mwenye msimamo usioyumba.

1. Jeshi la Ukraine linamtii na kumpenda sana.

2. Raia wa Ukraine wanampenda sana

3. Yuko vizuri kwenye Diplomasia na nchi yake ina mahusiano mazuri na nchi nyingi za EU na USA. Eneo hili kalifanya vizuri sana. Bila kuwa na ushawishi EU, NATO, USA wangemwangalia tu na wasingemsaidia.

4. Putin alimdharau Mh. Zelenskyy, hakujua karama aliyonayo na ushawishi wake kwa nchi tajiri.

5. Putin kuanza kuibembeleza na kuomba Uturuki na USA ili imshawishi Mh. Zelenskyy akubali mazungumzo wayamalize ni ishara kuwa sasa kiburi na dharau za Putin zimeanza kutoka. Vijana wanasema Putin katolewa wenge, sasa akili imekaa sawa.

6. Ni ukweli usiopingika kuwa Putin hajataka mazungumzo ili wamalize vita la hasha, anajaribu kutafuta uchochoro wa kuepuka aibu.
(a) Vikwazo vya kiuchumi vimembana mbavu. Uchumi wake umesinyaa sana, hataweza kuhimili vita ikiendelea.

(b) Vikwazo vya kuzuia suppliers wasimuuzie Russia materials kwa ajili ya kutengeneza silaha, kumemfanya production capacity ya military equipment & supplies iwe chini sana.

(c) Kashajua kuwa vita kashindwa na kwamba hata Crimea sasa inarudi Ukraine.

(d) Manpower (Skilled & Experienced Soldiers) yenye uzoefu kwenye vita imepungua na vita ikiendelea hali itakuwa mbaya.

(e) Upungufu wa silaha ni sababu mojawapo inayomsukuma kuomba mazungumzo ya kusitisha vita.

(f) Pressure ya ndani inazidi kuwa kubwa, hata waliokuwa wanamuunga mkono kuivamia Ukraine wameanza kumgeuka. Wanasema amepeleka wanajeshi kwenda kuuawa. Kiongozi wa Chechen na Wagner group nao wanasema kuwa jeshi la Urusi ni dhaifu na hawa silaha Bora. Hii si ishara nzuri kwa Putin.

Mh. Zelenskyy anatakiwa akanyagie mafuta pale pale na aongeze nguvu zaidi, mpaka Putin adondoshe taulo na kuchutama.
"Mh. Zelenskyy anatakiwa akanyagie mafuta pale pale na aongeze nguvu zaidi, mpaka Putin adondoshe taulo na kuchutama."
Hapo ndipo penyewe. Hilo ndilo la msingi haswaaaa.🔨🔨💉💉
 
Vikosi vya Ukraine leo vimevuka mto Dnipro kule Urusi walipo kimbilia na wamekomboa mji wa Oleshky. Meya wa Oleshky ndo katoa taarifa
20221114_202129.jpg
 
Back
Top Bottom