Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kumekucha. Urusi wamesema wanahamisha wananchi katika maeneo ya Kreminna, Rubizhne na Severodonetsk. Hata Kherson walianza hivi. Utasikia baada ya wiki tumeretreat🤣🤣🤣. Wanasema wanahamisha Raia ili msafara wa Vifaa vyao Muhimu usipigwe Makombora. So Wanachanganya na raia, na hao raia ni wa Ukraine
20221115_093804.jpg
 
UN yapiga kura Urusi iilipe Uoraine fidia kwa sababu ya uvamizi wake!

Azimio limepita kwa kura 94 kuunga mkono, kura 13 kukataa na kura 74 kuabstain
Putin alimkebehi Rais Zelensky hivi "we kijana sikia kwa makini kabla sijakufikia; Ndani ya masaa 72 ama ukimbie au ujisalimishe tuu Huna ujanja kenge wewe."
Leo UN anamwambia Putin "Mzee mkubwa, lazima uilipe fidia Ukraine kwa Uharibifu uliousababishwa na kitendo chako cha Uvamizi Ukraine"
Namwona Putin ana manundu mengi usoni na damu zinamtoka puani.Vijana wa Ukraine wamezukia kwa kipondo kikali.
 
Kumekucha. Urusi wamesema wanahamisha wananchi katika maeneo ya Kreminna, Rubizhne na Severodonetsk. Hata Kherson walianza hivi. Utasikia baada ya wiki tumeretreat🤣🤣🤣. Wanasema wanahamisha Raia ili msafara wa Vifaa vyao Muhimu usipigwe Makombora. So Wanachanganya na raia, na hao raia ni wa Ukraine
View attachment 2417231
Hii imekaaje; Taratibu za kivita zinaruhusu kutumia raia kama ngao(Human shield) katika vita?
 
UN yapiga kura Urusi iilipe Ukraine fidia kwa sababu ya uvamizi wake!

Azimio limepita kwa kura 94 kuunga mkono, kura 13 kukataa na kura 74 kuabstain
Tatizo ni kwamba UN General Assembly haina meno kwenye swala hili (UN General Assembly Resolutions are not legally binding). That Resolution it is just an opinion. The legally binding resolutions should be made by the UN Security Council. Maamuzi hayo alitakiwa yafanywe na UN most powerful 15 members of Security council. Tatizo Urusi ana kura ya Veto kwenye hiyo 15 Powerful members, hivyo hawawezi kujadili na kutoa maamuzi juu ya Russia.

Hiyo ndo changamoto, na Russia analijua hilo ndo maana anakuwa jeuri na kuvamia nchi zingine ovyo ovyo.
 
Hahahaa. Putin kazi anayo. Wanamkataa kwa sababu ananuka damu za waUkraine wasio na hatia alowauwa kikatili na kuchukua ardhi yao kibabe. Sasa anatapatapa na kuzunguka huku na huko na libarua lake la maombi mkononi.Wanamtaka sharti akanawe kwanza(akatawaze) awe na udhu ili aweze kuketi na waungwana mezani.
... hivi huyu (Putin) hawezi fikishwa Mahakama ya Uhalifu wa kivita (The Hague)?
 
China kaanza kucopy drone za kushambulia za Ukraine. Kuna zile drone zinadondosha mabomu kwenye mahandaki ya Warusi, sasa china ndo anaongezea, baada ya kubeba mabomu manne wao wametenegeneza za kubeba mabomu 8. Je, hii ni kuiba Teknolojia?
 
Tatizo ni kwamba UN General Assembly haina meno kwenye swala hili (UN General Assembly Resolutions are not legally binding). That Resolution it is just an opinion. The legally binding resolutions should be made by the UN Security Council. Maamuzi hayo alitakiwa yafanywe na UN most powerful 15 members of Security council. Tatizo Urusi ana kura ya Veto kwenye hiyo 15 Powerful members, hivyo hawawezi kujadili na kutoa maamuzi juu ya Russia.

Hiyo ndo changamoto, na Russia analijua hilo ndo maana anakuwa jeuri na kuvamia nchi zingine ovyo ovyo.
Basi kama ndio hivyo mm naona bado kuna lobbying & advocacy fulani yaweza fanyika au vinginevyo uwepo mkakati maalum Mrussi afikishwe mahali kwa kuhafifishwa/Kunyong'onyeshwa kwa makusudi ili kwamba atakosa vigezo vinavyomfanya awe ni member kwenye S.C. Then wanam-vote out.
 
Rais wa China kakutana na rais wa Marekani. Mazungumzo yameenda vizuri. China imesitisha kununua mafuta kutoka Urusi, pia hivi Karibuni Ujumbe wa Marekani unaenda china kwa ziara
View attachment 2417421
Nadhani ni siasa tu za mchina. Hawezi kusitisha kununua mafuta na gesi kutoka Urusi.

China anataka mafuta na gesi ya Urusi. Lakini tusisahau kuwa China ni mshirika wa Urusi. Fuatilia tu kila maamuzi (Resolutions) yanayofanywa na UN General Assembly, UN security Council, G20 etc China anapinga kwa kupiga Kura ya hapana. Hata kuhusu Urusi kuwekewa vikwazo vya kiuchumi anapinga.
 
Back
Top Bottom