figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #8,801
Anaomba kusamehewa🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes! That is what Russians came to get from Ukrainian fighters. Balls deep and hard.
Na mimi japo nimechelewa kidogo lakini pia nipo "on"Leo nimewahi mapemaa
Nasubir kusikia wameanza operation kimbiza mwizi mkoa mwingine ata luhansk, donbasNa mimi japo nimechelewa kidogo lakini pia nipo "on"
Putin alimkebehi Rais Zelensky hivi "we kijana sikia kwa makini kabla sijakufikia; Ndani ya masaa 72 ama ukimbie au ujisalimishe tuu Huna ujanja kenge wewe."UN yapiga kura Urusi iilipe Uoraine fidia kwa sababu ya uvamizi wake!
Azimio limepita kwa kura 94 kuunga mkono, kura 13 kukataa na kura 74 kuabstain
Huyu ni Msumbufu. Mbona warussi wenzake wametulia zao..............Anaomba kusamehewa🤣🤣
View attachment 2417224
Hii imekaaje; Taratibu za kivita zinaruhusu kutumia raia kama ngao(Human shield) katika vita?Kumekucha. Urusi wamesema wanahamisha wananchi katika maeneo ya Kreminna, Rubizhne na Severodonetsk. Hata Kherson walianza hivi. Utasikia baada ya wiki tumeretreat🤣🤣🤣. Wanasema wanahamisha Raia ili msafara wa Vifaa vyao Muhimu usipigwe Makombora. So Wanachanganya na raia, na hao raia ni wa Ukraine
View attachment 2417231
Tatizo ni kwamba UN General Assembly haina meno kwenye swala hili (UN General Assembly Resolutions are not legally binding). That Resolution it is just an opinion. The legally binding resolutions should be made by the UN Security Council. Maamuzi hayo alitakiwa yafanywe na UN most powerful 15 members of Security council. Tatizo Urusi ana kura ya Veto kwenye hiyo 15 Powerful members, hivyo hawawezi kujadili na kutoa maamuzi juu ya Russia.UN yapiga kura Urusi iilipe Ukraine fidia kwa sababu ya uvamizi wake!
Azimio limepita kwa kura 94 kuunga mkono, kura 13 kukataa na kura 74 kuabstain
... hivi huyu (Putin) hawezi fikishwa Mahakama ya Uhalifu wa kivita (The Hague)?Hahahaa. Putin kazi anayo. Wanamkataa kwa sababu ananuka damu za waUkraine wasio na hatia alowauwa kikatili na kuchukua ardhi yao kibabe. Sasa anatapatapa na kuzunguka huku na huko na libarua lake la maombi mkononi.Wanamtaka sharti akanawe kwanza(akatawaze) awe na udhu ili aweze kuketi na waungwana mezani.
Basi kama ndio hivyo mm naona bado kuna lobbying & advocacy fulani yaweza fanyika au vinginevyo uwepo mkakati maalum Mrussi afikishwe mahali kwa kuhafifishwa/Kunyong'onyeshwa kwa makusudi ili kwamba atakosa vigezo vinavyomfanya awe ni member kwenye S.C. Then wanam-vote out.Tatizo ni kwamba UN General Assembly haina meno kwenye swala hili (UN General Assembly Resolutions are not legally binding). That Resolution it is just an opinion. The legally binding resolutions should be made by the UN Security Council. Maamuzi hayo alitakiwa yafanywe na UN most powerful 15 members of Security council. Tatizo Urusi ana kura ya Veto kwenye hiyo 15 Powerful members, hivyo hawawezi kujadili na kutoa maamuzi juu ya Russia.
Hiyo ndo changamoto, na Russia analijua hilo ndo maana anakuwa jeuri na kuvamia nchi zingine ovyo ovyo.
Mkuu; Hapo kwenye............... imesitisha kununua mafuta kutoka Ukraine....... panahitaji editing?Rais wa China kakutana na rais wa Marekani. Mazungumzo yameenda vizuri. China imesitisha kununua mafuta kutoka Ukraine, pia hivi Karibuni Ujumbe wa Marekani unaenda china kwa ziara
View attachment 2417421
AAah! Hawajajilaza mkuu, ila Wamelazwa huku wanasubiri mchakato wa kuongeza mbolea.....Wale Chechen TikTok wenu hawa huku wamejilaza🤣🤣🤣
View attachment 2417482
Safi - iko wazi kabisa. Huo ni ujumbe maridhawa. Laiti Putin angekuwa huku jamvini (Jf) akausoma huo ujumbe angejifunza kitu hapo.
Nadhani ni siasa tu za mchina. Hawezi kusitisha kununua mafuta na gesi kutoka Urusi.Rais wa China kakutana na rais wa Marekani. Mazungumzo yameenda vizuri. China imesitisha kununua mafuta kutoka Urusi, pia hivi Karibuni Ujumbe wa Marekani unaenda china kwa ziara
View attachment 2417421
Wanajihami kuhusu TaiwanChina kaanza kucopy drone za kushambulia za Ukraine. Kuna zile drone zinadondosha mabomu kwenye mahandaki ya Warusi, sasa china ndo anaongezea, baada ya kubeba mabomu manne wao wametenegeneza za kubeba mabomu 8. Je, hii ni kuiba Teknolojia?
View attachment 2417434