Siku NASAMS zote zikitua Ukraine, Makombora yake hayatamsaidia tena. German nao wakituongezea IRIS-T waliyoahidi Anga litakuwa salama zaidi.Pamoja na kupiga makombora zaidi ya 85, lakini mengi yamedakwa. Yaliyo penetrate ni wachache sana.
Siku NASAMS zote zikitua Ukraine, Makombora yake hayatamsaidia tena. German nao wakituongezea IRIS-T waliyoahidi Anga litakuwa salama zaidi.
Hili Kombora lililotua Poland walilenga Mtambo wa Umeme ambao unagawa Umeme hadi Ulaya. Umeme kutoka Dobrotvirska power plant, unategemewa sana na Ulaya. Japo Urusi wamekana eti sio wao Walorusha hilo Kombora. Nani mwingine sasa?
View attachment 2418114
Rais wa China kakutana na rais wa Marekani. Mazungumzo yameenda vizuri. China imesitisha kununua mafuta kutoka Urusi, pia hivi Karibuni Ujumbe wa Marekani unaenda china kwa ziara
View attachment 2417421
NASAMS airdefense systems inafanya kazi Vizuri. Tunatakiwa tuwe nazo za kutosha. Jana Defense systems ziliweza kudaka Makombora 84 kati ya 90 yaliyoelekezwa Ukraine.
Zilidakwa Cruise missiles aina ya X-101/555 & Kalibr idadi ilikuwa 73
Drone aina ya Shahed-136 zilizodakwa zilikuwa 10 na ORION drone moja ilidakwa
Hii kwenye Video ni Cruise missiles
View attachment 2418102
Ni kweli inabidi wachukue hatua. Bila hivyo Russia atajiona anaogopwa. Wanatakiwa wampe show ya one day tu then wanampa onyo.Jana Urusi ilirusha Kombora likatua Poland na kuua watu wawili. Japo Urusi imekanusha kurusha Kombora, lakini Wataalam wa Vita wamedai Urusi ililenga kuharibu Dobrotvirska thermal power plant kwani Kombora limetua km 8 kutoka kwenye Mradi.
Hatua hiyo imepelekea Rais wa Poland aongee na Baden
Pia NATO wanakaa kufanya tathimini. Ni kwamba ukivamia Nchi yoyote ya NATO ni sawa na Umevamia NATO. Tusubiri tuone
View attachment 2418106View attachment 2418107View attachment 2418108View attachment 2418109View attachment 2418110
Atatuma mabomu makubwa zaidi? So unafurahia Wa Ukraine wanavyoteseka? Je ingekuwa Mama yako na Baba yako miongoni mwako ungefuraia pia?Mkuu
Ulikuwepo nini hapo au ndiyo Mahaba!
Kuwa na akiba ya maneno,
Camera zikiwa busy hapo Qatar
Russia atafanya mambo mazito hapo Kherson
Muda utasema..
Wanapredict nini? Kwamba Urusi hawezi fanya hivyo?Wataalam wa Silaha wamesema kuna uwezekano Mkumwa kombora la Poland halijatokea Urusi.
Wanasema ni kombora la S-300 ambalo huenda lilitoka Ukraine ikijaribu kulinda anga lake ila likaingia PolandWanapredict nini? Kwamba Urusi hawezi fanya hivyo?
Kama ni kweli, ni hatari sana. Yote tisa lakini aliyesababisha si ni Russia. Asingerusha hilo kombora yangetokea yote hayo.Wanasema ni kombora la S-300 ambalo huenda lilitoka Ukraine ikijaribu kulinda anga lake ila likaingia Poland
Hakika. Afanaalek! Kama ni mbwai na iwe mbwai. Huu mchezo wa Urussi kuna kitu anakitaka-Tumestuka. Kwa nini ana chokoza-chokoza hata mataifa mengine ysiyohusika moja kwa moja kwenye vita na Ukraine? Huu ujeuri Mrussi anaupata wapi?N
Ndiyo maana tumesema wampe Ukraine silaha za masafa marefu ili watu wapige moscow na maeneo mengine, bila hivo mchezo huu utaendelea hata akiondolewa Ukraine.
La hasha. Wanatakiwa wampe show ya Once and for all. Asije kurudia tena (kama atabahatika kuendelea kuwepo) na liwe ni fundisho kwa yeyote atakayethubutu kufanya ujinga kama huo. Asibembelezwe hata kidogo bali apewe kipigo kitakatifu aangamizwe kabisa-kabisa. Ni bora zaidi kutokuwa na nchi iitwayo Urussi kuliko kuwa na nchi iitwayo Urussi yenye usumbufu na ujeuri wa kibabe namna hii.Ni kweli inabidi wachukue hatua. Bila hivyo Russia atajiona anaogopwa. Wanatakiwa wampe show ya one day tu then wanampa onyo.