Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Pamoja na kupiga makombora zaidi ya 85, lakini mengi yamedakwa. Yaliyo penetrate ni wachache sana.

Siku NASAMS zote zikitua Ukraine, Makombora yake hayatamsaidia tena. German nao wakituongezea IRIS-T waliyoahidi Anga litakuwa salama zaidi.

Kweli cku hatua hiyo (status) ikifikiwa, Mrussi lazima avae pampasi. Ujeuri wake utamwisha.
 
NASAMS airdefense systems inafanya kazi Vizuri. Tunatakiwa tuwe nazo za kutosha. Jana Defense systems ziliweza kudaka Makombora 84 kati ya 90 yaliyoelekezwa Ukraine.

Zilidakwa Cruise missiles aina ya X-101/555 & Kalibr idadi ilikuwa 73

Drone aina ya Shahed-136 zilizodakwa zilikuwa 10 na ORION drone moja ilidakwa

Hii kwenye Video ni Cruise missiles
 
Jana Urusi ilirusha Kombora likatua Poland na kuua watu wawili. Japo Urusi imekanusha kurusha Kombora, lakini Wataalam wa Vita wamedai Urusi ililenga kuharibu Dobrotvirska thermal power plant kwani Kombora limetua km 8 kutoka kwenye Mradi.

Hatua hiyo imepelekea Rais wa Poland aongee na Baden
Pia NATO wanakaa kufanya tathimini. Ni kwamba ukivamia Nchi yoyote ya NATO ni sawa na Umevamia NATO. Tusubiri tuone
20221116_031143.jpg
20221116_031039.jpg
20221116_031103.jpg
20221116_031330.jpg
20221116_031333.jpg
 
Hili Kombora lililotua Poland walilenga Mtambo wa Umeme ambao unagawa Umeme hadi Ulaya. Umeme kutoka Dobrotvirska power plant, unategemewa sana na Ulaya. Japo Urusi wamekana eti sio wao Walorusha hilo Kombora. Nani mwingine sasa?
20221116_033948.jpg
 
N

View attachment 2418114

Ndiyo maana tumesema wampe Ukraine silaha za masafa marefu ili watu wapige moscow na maeneo mengine, bila hivo mchezo huu utaendelea hata akiondolewa Ukraine.
 
Rais wa China kakutana na rais wa Marekani. Mazungumzo yameenda vizuri. China imesitisha kununua mafuta kutoka Urusi, pia hivi Karibuni Ujumbe wa Marekani unaenda china kwa ziara
View attachment 2417421

Mkuu

Ulikuwepo nini hapo au ndiyo Mahaba!

Kuwa na akiba ya maneno,

Camera zikiwa busy hapo Qatar

Russia atafanya mambo mazito hapo Kherson

Muda utasema..
 
NASAMS airdefense systems inafanya kazi Vizuri. Tunatakiwa tuwe nazo za kutosha. Jana Defense systems ziliweza kudaka Makombora 84 kati ya 90 yaliyoelekezwa Ukraine.

Zilidakwa Cruise missiles aina ya X-101/555 & Kalibr idadi ilikuwa 73

Drone aina ya Shahed-136 zilizodakwa zilikuwa 10 na ORION drone moja ilidakwa

Hii kwenye Video ni Cruise missiles
View attachment 2418102

Performance of 93% is a great achievement. Hongera Ukranian.

NASAMS na IRIS-T zikifika zote, wanaweza kulinda anga lote kwa 98%
 
Jana Urusi ilirusha Kombora likatua Poland na kuua watu wawili. Japo Urusi imekanusha kurusha Kombora, lakini Wataalam wa Vita wamedai Urusi ililenga kuharibu Dobrotvirska thermal power plant kwani Kombora limetua km 8 kutoka kwenye Mradi.

Hatua hiyo imepelekea Rais wa Poland aongee na Baden
Pia NATO wanakaa kufanya tathimini. Ni kwamba ukivamia Nchi yoyote ya NATO ni sawa na Umevamia NATO. Tusubiri tuone
View attachment 2418106View attachment 2418107View attachment 2418108View attachment 2418109View attachment 2418110
Ni kweli inabidi wachukue hatua. Bila hivyo Russia atajiona anaogopwa. Wanatakiwa wampe show ya one day tu then wanampa onyo.
 
Mkuu

Ulikuwepo nini hapo au ndiyo Mahaba!

Kuwa na akiba ya maneno,

Camera zikiwa busy hapo Qatar

Russia atafanya mambo mazito hapo Kherson

Muda utasema..
Atatuma mabomu makubwa zaidi? So unafurahia Wa Ukraine wanavyoteseka? Je ingekuwa Mama yako na Baba yako miongoni mwako ungefuraia pia?
 
N

Ndiyo maana tumesema wampe Ukraine silaha za masafa marefu ili watu wapige moscow na maeneo mengine, bila hivo mchezo huu utaendelea hata akiondolewa Ukraine.
Hakika. Afanaalek! Kama ni mbwai na iwe mbwai. Huu mchezo wa Urussi kuna kitu anakitaka-Tumestuka. Kwa nini ana chokoza-chokoza hata mataifa mengine ysiyohusika moja kwa moja kwenye vita na Ukraine? Huu ujeuri Mrussi anaupata wapi?
 
Ni kweli inabidi wachukue hatua. Bila hivyo Russia atajiona anaogopwa. Wanatakiwa wampe show ya one day tu then wanampa onyo.
La hasha. Wanatakiwa wampe show ya Once and for all. Asije kurudia tena (kama atabahatika kuendelea kuwepo) na liwe ni fundisho kwa yeyote atakayethubutu kufanya ujinga kama huo. Asibembelezwe hata kidogo bali apewe kipigo kitakatifu aangamizwe kabisa-kabisa. Ni bora zaidi kutokuwa na nchi iitwayo Urussi kuliko kuwa na nchi iitwayo Urussi yenye usumbufu na ujeuri wa kibabe namna hii.
Nimemaliza.
 
Back
Top Bottom