figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #8,861
Ni Kombora ya Ukraine, halikupata target wakati wa interception Cruise missiles za Urusi jana. Hivyo likaenda moja kwa moja hadi Poland. S-300 ndo ganda lilikutwa Poland na S-300 yanatengenezwa Urusi ndo maana wakasema Urusi. Yaani Urusi ana Bahati, NATO walikuwa washawasha MitamboWanasema ni kombora la S-300 ambalo huenda lilitoka Ukraine ikijaribu kulinda anga lake ila likaingia Poland
Ni Kombora ya Ukraine, halikupata target wakati wa intercept Cruise missiles za Urusi jana. Hivyo likaenda moja kwa moja hadi Poland. S-300 ndo ganda lilikutwa Poland na S-300 yanatengenezwa Urusi ndo maana wakasema Urusi. Yaani Urusi ana Bahati, NATO walikuwa washawasha Mitambo
View attachment 2418438
"Hii yote sasa ni mali ya Ukraine" Naam; Na sasa yatatumika kikamilifu dhidi ya MrussiGhala lingine la Mortar ambalo Urusi walitelekeza Kherson limegunduliwa. Hii yote sasa ni mali ya Ukraine
View attachment 2418548
Mungu alivyo mwema limegoma kulipuka. ππKombora la Urusi limetua jikoni kwenye makazi ya watu. Frontline hawawaoni?
View attachment 2418545
Mzigo huo ukitumiwa vizuri haukosi kuteketeza walau warusi 100.Ghala lingine la Mortar ambalo Urusi walitelekeza Kherson limegunduliwa. Hii yote sasa ni mali ya Ukraine
View attachment 2418548
WeEweee.Mungu alivyo mwema limegoma kulipuka. ππ
Ingekuwa nyumba yangu ningewaomba wajeda waliache iwe kumbukumbu kwa ajili ya vitukuu vyangu πππ
Ngoja niwachokoze pro-Russia hapo kwenye #4: Aisee, dah! Hawa pro-Russia siku zote wanadakia-dakia maneno. Huwa hawasubirii hoja ikakamilika wao ni kulipuka tu utadhani walinyonyeshwa na Bi-Mkora.Nilichojifunza kuhusu sakata la makombora yaliyotua Poland;
1. Russia kumbe anaiogopa sana NATO, alivyokanusha kwa haraka na kwa utetezi mkubwa ni dhahiri anaogopa vita kati yake na NATO.
2. Russia alijua kagusa sharubu za Simba, hasa ukizingatia kuwa hili limetokea wakubwa wa Dunia wakiwa wamekusanyika Indonesia. Alijua watasema apigwe au asulubiwe.
3. USA na NATO ni watu wastaarabu sana na wanaofanya kazi zao kwa misingi ya haki. Walikuwa na uwezo wa kumsingizia Russia kuwa kapiga kwenye NATO territory na kuchukuliwa kama sababu ya kumpiga Russia. Lakini Pentagon na Biden wamekuwa wa kwanza kuweka angalizo kuwa "Unlikely Russia ......" japo wanajua Russia hakurusha hilo Kombora Poland.
4. Pro Russia wamekuwa wa kwanza kueneza habari kuwa USA imesema kuwa Russia haijahusika huku wakijua uchunguzi haujakamilika. Lile Neno lililotumiwa na Mzee Biden na Pentagon kuwa "Unlikely Russia ........., we are waiting for investigation". Hawajataka hata kusikia maneno mengine "....... waiting for investigation", wao wame conclude kuwa USA na NATO wamesema Russia haijahusika.
Kwa kifupi, kumbe anayejiita super powers anaiogopa NATO. Alijua akikaa kimya hata kwa siku moja bila kukanusha wanaume wanaweza kumfanyizia.
Kwa hesabu la minimum number. Lakini kwa Umakini wa wapiganaji wa Ukraine, hapo piga hesabu la warussi 5 (warussi huwa wanajilundikaga kama kondoo)kwa kila kombora - utapata warussi 1000+Mzigo huo ukitumiwa vizuri haukosi kuteketeza walau warusi 100.
Niliona hata pentagon wana sema National threat ni China sio RussiaUngetazama Zhuhai Airshow 2022 inayoisha kesho ungeona progress ya Wachina. Russia hampigi Mchina kwa sasa, hana uwezo huo
Nimesikia kwa mara ya kwanza msemaji wa Kremlin kwa kuishukuru marekani, amesema .". ...... Russia praise USA ....... .. to restrain and act professionally".Ni Kombora ya Ukraine, halikupata target wakati wa intercept Cruise missiles za Urusi jana. Hivyo likaenda moja kwa moja hadi Poland. S-300 ndo ganda lilikutwa Poland na S-300 yanatengenezwa Urusi ndo maana wakasema Urusi. Yaani Urusi ana Bahati, NATO walikuwa washawasha Mitambo
View attachment 2418438
NATO walikuwa wameanza kumpapasa mrusiNimesikia kwa mara ya kwanza msemaji wa Kremlin kwa kuishukuru marekani, amesema .". ...... Russia praise USA ....... .. to restrain and act professionally".
Russia kamwona USA kama mkombozi wake kwenye sakata hili. πππ
Kimbe Wanajeshi wa NATO wapo tayari tayari. Dakika Sifuri kila Brigade ipo timamu kwa nchi kama nne. Kuanzia Romania na PolandNATO walikuwa wameanza kumpapasa mrusi
Jamaa kaponea chupuchupu, alijua kuwa sasa kanaswa na NATOππππ.Kimbe Wanajeshi wa NATO wapo tayari tayari. Dakika Sifuri kila Brigade ipo timamu kwa nchi kama nne. Kuanzia Romania na Poland
NATO wanamtafuta Urusi kwa hamu kweli,yaani wanatamani hata buti la mwanajeshi wa Urusi liangukie ndani ya mipaka yao wamuadabishe vilivyo,ana bahati