Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanasema ni kombora la S-300 ambalo huenda lilitoka Ukraine ikijaribu kulinda anga lake ila likaingia Poland
Ni Kombora ya Ukraine, halikupata target wakati wa interception Cruise missiles za Urusi jana. Hivyo likaenda moja kwa moja hadi Poland. S-300 ndo ganda lilikutwa Poland na S-300 yanatengenezwa Urusi ndo maana wakasema Urusi. Yaani Urusi ana Bahati, NATO walikuwa washawasha Mitambo
 
Umeandika "Do you remember Svensksund, fuckin' Russians"?

Hawa ni Askari wa kujitolea kutoka Sweden. Wanadai kulitokea Mapigano ya kugombania mpaka kati ya Urusi na Sweden mwaka 17 90, sasa ndo wanalipiza kisasi wakiwa Ukraine 🤣🤣
 
Screenshot_20221116-141331.png
 
Ni Kombora ya Ukraine, halikupata target wakati wa intercept Cruise missiles za Urusi jana. Hivyo likaenda moja kwa moja hadi Poland. S-300 ndo ganda lilikutwa Poland na S-300 yanatengenezwa Urusi ndo maana wakasema Urusi. Yaani Urusi ana Bahati, NATO walikuwa washawasha Mitambo
View attachment 2418438

Nilichojifunza kuhusu sakata la makombora yaliyotua Poland;

1. Russia kumbe anaiogopa sana NATO, alivyokanusha kwa haraka na kwa utetezi mkubwa ni dhahiri anaogopa vita kati yake na NATO.

2. Russia alijua kagusa sharubu za Simba, hasa ukizingatia kuwa hili limetokea wakubwa wa Dunia wakiwa wamekusanyika Indonesia. Alijua watasema apigwe au asulubiwe.

3. USA na NATO ni watu wastaarabu sana na wanaofanya kazi zao kwa misingi ya haki. Walikuwa na uwezo wa kumsingizia Russia kuwa kapiga kwenye NATO territory na kuchukuliwa kama sababu ya kumpiga Russia. Lakini Pentagon na Biden wamekuwa wa kwanza kuweka angalizo kuwa "Unlikely Russia ......" japo wanajua Russia hakurusha hilo Kombora Poland.

4. Pro Russia wamekuwa wa kwanza kueneza habari kuwa USA imesema kuwa Russia haijahusika huku wakijua uchunguzi haujakamilika. Lile Neno lililotumiwa na Mzee Biden na Pentagon kuwa "Unlikely Russia ........., we are waiting for investigation". Hawajataka hata kusikia maneno mengine "....... waiting for investigation", wao wame conclude kuwa USA na NATO wamesema Russia haijahusika.

Kwa kifupi, kumbe anayejiita super powers anaiogopa NATO. Alijua akikaa kimya hata kwa siku moja bila kukanusha wanaume wanaweza kumfanyizia.
 
Mungu alivyo mwema limegoma kulipuka. 🙏🙏

Ingekuwa nyumba yangu ningewaomba wajeda waliache iwe kumbukumbu kwa ajili ya vitukuu vyangu 😂😂😂
WeEweee.
Hiyo kitu ni hatari kuliko maelezo. Yawezekana kama lilivogoma kulipuka likasitisha mgomo wake na likalipuka. Wewe hapo cjui utakuwa wapi. Bora uwaite wenye kazi yao waje kulikusanya waondoke nalo -watajua wenyewe huko mbele ya safari. 😳 😳 😳
 
Nilichojifunza kuhusu sakata la makombora yaliyotua Poland;

1. Russia kumbe anaiogopa sana NATO, alivyokanusha kwa haraka na kwa utetezi mkubwa ni dhahiri anaogopa vita kati yake na NATO.

2. Russia alijua kagusa sharubu za Simba, hasa ukizingatia kuwa hili limetokea wakubwa wa Dunia wakiwa wamekusanyika Indonesia. Alijua watasema apigwe au asulubiwe.

3. USA na NATO ni watu wastaarabu sana na wanaofanya kazi zao kwa misingi ya haki. Walikuwa na uwezo wa kumsingizia Russia kuwa kapiga kwenye NATO territory na kuchukuliwa kama sababu ya kumpiga Russia. Lakini Pentagon na Biden wamekuwa wa kwanza kuweka angalizo kuwa "Unlikely Russia ......" japo wanajua Russia hakurusha hilo Kombora Poland.

4. Pro Russia wamekuwa wa kwanza kueneza habari kuwa USA imesema kuwa Russia haijahusika huku wakijua uchunguzi haujakamilika. Lile Neno lililotumiwa na Mzee Biden na Pentagon kuwa "Unlikely Russia ........., we are waiting for investigation". Hawajataka hata kusikia maneno mengine "....... waiting for investigation", wao wame conclude kuwa USA na NATO wamesema Russia haijahusika.

Kwa kifupi, kumbe anayejiita super powers anaiogopa NATO. Alijua akikaa kimya hata kwa siku moja bila kukanusha wanaume wanaweza kumfanyizia.
Ngoja niwachokoze pro-Russia hapo kwenye #4: Aisee, dah! Hawa pro-Russia siku zote wanadakia-dakia maneno. Huwa hawasubirii hoja ikakamilika wao ni kulipuka tu utadhani walinyonyeshwa na Bi-Mkora.
 
Mzigo huo ukitumiwa vizuri haukosi kuteketeza walau warusi 100.
Kwa hesabu la minimum number. Lakini kwa Umakini wa wapiganaji wa Ukraine, hapo piga hesabu la warussi 5 (warussi huwa wanajilundikaga kama kondoo)kwa kila kombora - utapata warussi 1000+
 
Ni Kombora ya Ukraine, halikupata target wakati wa intercept Cruise missiles za Urusi jana. Hivyo likaenda moja kwa moja hadi Poland. S-300 ndo ganda lilikutwa Poland na S-300 yanatengenezwa Urusi ndo maana wakasema Urusi. Yaani Urusi ana Bahati, NATO walikuwa washawasha Mitambo
View attachment 2418438
Nimesikia kwa mara ya kwanza msemaji wa Kremlin kwa kuishukuru marekani, amesema .". ...... Russia praise USA ....... .. to restrain and act professionally".

Russia kamwona USA kama mkombozi wake kwenye sakata hili. 😂😂😂
 
NATO walikuwa wameanza kumpapasa mrusi
 
Attachments

  • 1656258097609.jpg
    1656258097609.jpg
    117.5 KB · Views: 6
Kimbe Wanajeshi wa NATO wapo tayari tayari. Dakika Sifuri kila Brigade ipo timamu kwa nchi kama nne. Kuanzia Romania na Poland
Jamaa kaponea chupuchupu, alijua kuwa sasa kanaswa na NATO😂😂😂😂.

Si jambo la kawaida kumpongeza adui yako mkubwa lakini kwa Mrusi imewezekana 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom