Hey! Putin anaanza kupata akili nin!? Ngoja tuone.Urusi imewaachia huru watoto 35,000 waliotekwa Ukraine
View attachment 2420131
Ni kweli vifo vya wanajeshi wake vikipanda zaidi itamfanya atambue kuwa wanajeshi wake wanapukutika. Wanaotekwa wakibadirishana wafungwa wanarudi tena kwenye mapigano.Ili kupunguza mashambulizi ya Urusi kwa mifumo ya kiraia ya Ukraine. Nahisi Ukraine ikianza kuchapa risasi Mateka, nahisi Putin ataanza kufikiri mara mbilimbili kabla ya kupiga mifumo ya kiraia ya Ukraine
Mateka wapo pande zote mbili sio ukrane tu hata urusi wanakamata wa kutosha halafu fahamu pia POW wana haki zao na kuna mikataba ya namna ya ku wa handle omesainiwa na nchi wanachama wa umoja wa mataifa!Ili kupunguza mashambulizi ya Urusi kwa mifumo ya kiraia ya Ukraine. Nahisi Ukraine ikianza kuchapa risasi Mateka, nahisi Putin ataanza kufikiri mara mbilimbili kabla ya kupiga mifumo ya kiraia ya Ukraine
Yeah. Akishatolewa/kamatwa kama mateka anaondolewa kwenye eneo la Kupigana na anaingia kwenye Utaratibu mwingine kama Mfungwa wa kivita. Hana silaha na anakuwa chini ya ulinzi wa aliyemteka aidha ni Ukraine au ni Urussi. Ukimuua ni umemuonea tu na ni kosa kisheria.Mateka wapo pande zote mbili sio ukrane tu hata urusi wanakamata wa kutosha halafu fahamu pia POW wana haki zao na kuna mikataba ya namna ya ku wa handle omesainiwa na nchi wanachama wa umoja wa mataifa!
So sad. RIP wapiganaji wetu.Urusi katuumiza sana.. Kaondoka na mashujaa wetu wengi sana. Tuzidi kuwaombea waliotangulia Mungu awalaze mahali pema peponi. Mnatuua sisu, wanazaliwa sisi wengi sana. Urusi hamtapata amani Ukraine. Mtatuua mtumalize lakini hatutawaacha salama
View attachment 2420885
Huku kumekucha vizuri ni kipindi cha joto kuongezeka kwani mvua zimeanza maeneo-maeneo. Kumbe vitani kuna uwezekano wa kusinzia mjomba?Hii post ya asubuhi sana. Nimepitiwa na Usingizi. Habari yenyu bana... Baridi lishaanza Ukraine
View attachment 2420874View attachment 2420875View attachment 2420877View attachment 2420878
Nadhani watachukua kila aina ya tahadhari - "Under key and lock".Hizo silaha nizao wenyewe waangalie wasije kulipua tena poland Natto haitawavumilia
Aamen.Urusi katuumiza sana.. Kaondoka na mashujaa wetu wengi sana. Tuzidi kuwaombea waliotangulia Mungu awalaze mahali pema peponi. Mnatuua sisu, wanazaliwa sisi wengi sana. Urusi hamtapata amani Ukraine. Mtatuua mtumalize lakini hatutawaacha salama
View attachment 2420885