Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ili kupunguza mashambulizi ya Urusi kwa mifumo ya kiraia ya Ukraine. Nahisi Ukraine ikianza kuchapa risasi Mateka, nahisi Putin ataanza kufikiri mara mbilimbili kabla ya kupiga mifumo ya kiraia ya Ukraine
Ni kweli vifo vya wanajeshi wake vikipanda zaidi itamfanya atambue kuwa wanajeshi wake wanapukutika. Wanaotekwa wakibadirishana wafungwa wanarudi tena kwenye mapigano.

Wangetumia formula kuwa wakiteka wanajeshi wa urusi 100, basi 10 wawabakize na 90 wale shaba. Wawatunzia tu maiti zao ili baadae zitumike kubadirishana na watu hai. Hata kama ingekuwa mtu hai mmoja kwa Maiti 10.
 
Ili kupunguza mashambulizi ya Urusi kwa mifumo ya kiraia ya Ukraine. Nahisi Ukraine ikianza kuchapa risasi Mateka, nahisi Putin ataanza kufikiri mara mbilimbili kabla ya kupiga mifumo ya kiraia ya Ukraine
Mateka wapo pande zote mbili sio ukrane tu hata urusi wanakamata wa kutosha halafu fahamu pia POW wana haki zao na kuna mikataba ya namna ya ku wa handle omesainiwa na nchi wanachama wa umoja wa mataifa!
 
Yeah. Akishatolewa/kamatwa kama mateka anaondolewa kwenye eneo la Kupigana na anaingia kwenye Utaratibu mwingine kama Mfungwa wa kivita. Hana silaha na anakuwa chini ya ulinzi wa aliyemteka aidha ni Ukraine au ni Urussi. Ukimuua ni umemuonea tu na ni kosa kisheria.
 
Hii post ya asubuhi sana. Nimepitiwa na Usingizi. Habari yenyu bana... Baridi lishaanza Ukraine
20221119_121739.jpg
20221119_121746.jpg
20221119_122043.jpg
20221119_122054.jpg
 
Urusi katuumiza sana.. Kaondoka na mashujaa wetu wengi sana. Tuzidi kuwaombea waliotangulia Mungu awalaze mahali pema peponi. Mnatuua sisu, wanazaliwa sisi wengi sana. Urusi hamtapata amani Ukraine. Mtatuua mtumalize lakini hatutawaacha salama
 
Hizo silaha nizao wenyewe waangalie wasije kulipua tena poland Natto haitawavumilia
 
Back
Top Bottom