Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hivi nikweli kuna ukomo wa vita maana naona kama kuna watu wana maslahi yao ambayo hayakubaliki.
 
Hivi nikweli kuna ukomo wa vita maana naona kama kuna watu wana maslahi yao ambayo hayakubaliki.
Ni kina nani hao mkuu wanaofurahia na kuneemeka kwa vifo vya binadamu wenzao, uharibifu wa mali/miundombinu na kutoweka kwa amani? Mungu anawaona.
 
Huyu Mwanajeshi wa Urusi, alipoona Drone juu yake, ikabidi aweke mikono juu kujisalimisha. Ikamuongoza hadi Wanajeshi wa Ukraine walipo
View attachment 2421207
Hahahaaa. Bila shaka alianza kwa kusema "Shikamoo drone" na papo hapo akawa mtiifu hadi alipowafikia Majeshi ya Ukraine cjui Km. ngapi vinginevyo angebutuliwa. 😆 😆 😆
 
Urusi wakionesha uharibifu uliosababishwa na HIMARS
View attachment 2421196
Wangekuwa jasiri watamke/watutajie kiini (core reason)kilichosababisha HIMARS itumike na kupelekea matokeo ya uharibifu huo. Asishtaki tu wakati yy ndiye mchokozi kwa kuivamia Ukraine. Angetulia kwake nchini Urussi hayo yasingelitokea wala HIMARS isingetumika.
 
Plan iliyopo ni kwamba hadi mwezi wa 12, Ukraine iweze kuingiza Majeshi Crimea
View attachment 2421226
Kuingiza majeshi Crimea kabla ya kuikomboa Kherson yote na Zaporizhzhia ni hatari kwa Ukraine.

Crimea inatakiwa uchukuliwe kwa jasho dogo. Russia anatakiwa aiteme Crimea kama alivyofanya Kherson. Wakiweka pressure kubwa Kherson na Zaporizhzhia ataitema Crimea kama nyani kutema bungo.
 
Ama kweli songea ya wasouth afrika nashangaa kuona nyirenda Zambia ,alipandisha bendera ya Uhuru ndo jinalake hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…