Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamemjeruhi, kamandaFrontline
View attachment 2421189
Ni kina nani hao mkuu wanaofurahia na kuneemeka kwa vifo vya binadamu wenzao, uharibifu wa mali/miundombinu na kutoweka kwa amani? Mungu anawaona.Hivi nikweli kuna ukomo wa vita maana naona kama kuna watu wana maslahi yao ambayo hayakubaliki.
Dah! Mungu ni mwema kila wakati. Mdogo-mdogo hali itatengamaa na waUkraine watulie na kuifurahia tena nchi yao ikiwa ni pamoja na kula mema ya nchi.Tangu vita ianze, hii ndo Treni ya kwanza imetoka Kyiv na hapa ni Kherson
View attachment 2421206
Hahahaaa. Bila shaka alianza kwa kusema "Shikamoo drone" na papo hapo akawa mtiifu hadi alipowafikia Majeshi ya Ukraine cjui Km. ngapi vinginevyo angebutuliwa. 😆 😆 😆Huyu Mwanajeshi wa Urusi, alipoona Drone juu yake, ikabidi aweke mikono juu kujisalimisha. Ikamuongoza hadi Wanajeshi wa Ukraine walipo
View attachment 2421207
Wangekuwa jasiri watamke/watutajie kiini (core reason)kilichosababisha HIMARS itumike na kupelekea matokeo ya uharibifu huo. Asishtaki tu wakati yy ndiye mchokozi kwa kuivamia Ukraine. Angetulia kwake nchini Urussi hayo yasingelitokea wala HIMARS isingetumika.Urusi wakionesha uharibifu uliosababishwa na HIMARS
View attachment 2421196
Ana akili. Angeshupaa angekuwa mboleaHuyu Mwanajeshi wa Urusi, alipoona Drone juu yake, ikabidi aweke mikono juu kujisalimisha. Ikamuongoza hadi Wanajeshi wa Ukraine walipo
View attachment 2421207
Kuingiza majeshi Crimea kabla ya kuikomboa Kherson yote na Zaporizhzhia ni hatari kwa Ukraine.Plan iliyopo ni kwamba hadi mwezi wa 12, Ukraine iweze kuingiza Majeshi Crimea
View attachment 2421226
Kwa nini wanazificha sana hzi siraha?Kwa mara ya kwanza Ukraine imekamata ghala la silaha za 9M120 Ataka ATGMs. Warusi huwa wanazificha sana
View attachment 2420934
Ama kweli songea ya wasouth afrika nashangaa kuona nyirenda Zambia ,alipandisha bendera ya Uhuru ndo jinalake hiloMwanafunzi wa Zambia - ambaye alikuwa akitumikia kifungo nchini Urusi - aliuawa kwenye mstari wa mbele nchini Ukraine katika mazingira yasiyoeleweka, waziri wa mambo ya nje wa Zambia ameambia kikao cha wanahabari katika mji mkuu Lusaka.
Lemekhani Nyirenda, 23, alikuwa akisomea uhandisi wa nyuklia katika Taasisi ya Fizikia ya Uhandisi ya Moscow, lakini mnamo 2020 alihukumiwa kifungo cha miaka tisa jela kwa kosa ambalo halikutajwa. Atakuwa alikutanana Azov
View attachment 2416885
View attachment 2416886