Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa ni Wagner, Wanajeshi wa waliokodiwa na Urusi. Na hapa ni Soledar huko bakhmut. Kazi nzuri ya 10th mountain assault brigade.
View attachment 2421274
Kwa kweli Huyo mpishi wa Putin amestahili kabisa tena imekasoro hajaongezewa kipondo. Utapendaje fedha kwa kuwauwa watu ambao hata huna ugomvi nao? Nimefurahi sana leo. Hongera mno kwa 10th mountain assault brigade. Kazi iendelee.๐Ÿ’ช
Hao hawastahili hata kuchukuliwa mateka. Akidakwa Wagner yeyote napendekeza tena kwa msisitizo: Iwe ni kupasua kichwa tu. Mijitu inaishi kwa kumwaga damu za binadamu wenzao ili wapate malipo.
 
Hawa ni Wagner, Wanajeshi wa waliokodiwa na Urusi. Na hapa ni Soledar huko bakhmut. Kazi nzuri ya 10th mountain assault brigade.
View attachment 2421274
Kikosi cha Drones huwa wananipa raha sana kwa kazi yao nzuri. Vita vya porini wanaiweza sana. Hata ungechimba handaki na kuishi kama nungunungu wataฤทuona tu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mimi naamini wanajua walifanyalo na wanayo mahesabu yanayowaongoza. Ushauri wako ni mzuri sana ili kupunguza hasara -lakini hebu tuwaachie nafasi yao ya kitaalam-vita.
 
Mbinu za kijeshi zinazotumiwร  na Ukraine ni za kutumia akili
Siyo ile ya kutengeneza pyramid block anatumia Russia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Mbinu hii hata kama ni Drone haiwaoni kabisa.
Dah! Nimekubali bro. Ukraine are very smart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ