Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mhhhh! Bora tu uone kwenye clip kuliko ukawepo hapo physically. Huo mtifuano na vifaru ni balaa. Sasa katika hilo adui ni yupi au hapo ndo adui (Mrussi) anapelekewa moto?
Ipo hivi, Ukraine wana Frontline na Urusi wana Frontline (Ngome). Hivyo kila upande unataka kuvunja Frontline ya mwingine ili wapate njia. So hivi vifaru 8 vya Ukraine na Helkopta 2, vilienda kushambulia Frontline ya Urusi na kurudi mafichoni. So ukishambulia hivi, adui anajuq Silaha unayotumia na Sehemu ulipo. So lazima uhame mapema ili akipiga asipate kitu
 
Habari mbaya kwa Pro Urusi. Kiongonzi wa Wagner, Georgy Korvatovsky, aka "Goha" "Gosha", amekufa na kundi lake. Sasa Dunia itakuwa sehemu salama. Huyu jamaa amepigana vita sehemu tofauti kama Georgia, Syria na Central African Republic. Alikuwa tishio. Ila mbwembwe zake zimeishia Ukraine
20221121_060937.jpg
20221121_060934.jpg
 
Moscow kimenuka. Unajua Legion wanawanyong'esha Urusi kimya kimya.. Mikakati yao ya kulipua sehemu nyeti imekaa vizuri. Wapo kila sehemu, Marubani, Wahandisi nk. Hawamtaki Putin so wanatumia silaha walionayo. Ipo siku tutasikia wamelipua Ikulu
View attachment 2422528
Safi sana Mungu aiwezeshe hii ifanikiwe ili aondoke huyu Dictator Rais wa milele

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Habari mbaya kwa Pro Urusi. Kiongonzi wa Wagner, Georgy Korvatovsky, aka "Goha" "Gosha", amekufa na kundi lake. Sasa Dunia itakuwa sehemu salama. Huyu jamaa amepigana vita sehemu tofauti kama Georgia, Syria na Central African Republic. Alikuwa tishio. Ila mbwembwe zake zimeishia Ukraine
View attachment 2422702View attachment 2422703
Slava Ukraine [emoji1255]

Nakumbuka wagner walipoteza mobilized prisoners zaidi ya 458 mapema October, 2022.

Maana yake, wazoefu wanazidi kufyekwa na hata askari wengi walio recruit wanazidi kupukutika.

Hii vita ikiendelea miezi 6 mingine wagner group litakuwa limebaki kakikundi kadogo.

Ukraine wakiweza kuisambaratisha battalion ya Wagner group and separatist iliyopo Donetsk, Urusi wataikimbia Donetsk bila shuruti.
 
Ipo hivi, Ukraine wana Frontline na Urusi wana Frontline (Ngome). Hivyo kila upande unataka kuvunja Frontline ya mwingine ili wapate njia. So hivi vifaru 8 vya Ukraine na Helkopta 2, vilienda kushambulia Frontline ya Urusi na kurudi mafichoni. So ukishambulia hivi, adui anajuq Silaha unayotumia na Sehemu ulipo. So lazima uhame mapema ili akipiga asipate kitu
OK. Hit and run au nimechemka bro.
 
Back
Top Bottom