figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #9,041
Donetsk Urusi wanalia. Treni ya mafuta na reli vimeharibiwa mazima. Asante HIMARS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa andiko lako. Umefanya uchambuzi Mzuri 💪Mtizamo wa hicho la makengeza kuhusu Vita ya Ukraine na Russia.
Kipindi cha winter kinaweza kutuletea Matokeo ya kutustaajabisha na huenda tusiamini. Kuna uwezekana wa kupata matokeo kama ya Afghanistan na Iraq.
1. Wanajeshi wengi wa Russia hawana morali wa kupigana. Wenye morali ni viongozi wa juu (watoa amri). Hili linaweza kuchangia kwa asilimia kubwa wanajeshi wa Russia ku surrender, maana wanaona vita hii haina munufaa kwao zaidi ya wao kuuawa. Walidanganywa sababu za kuivamia Ukraine, sasa wanajua ukweli. Majeshi ya Iraq yalikuwa yana surrender kwa majeshi ya Kuwait na washirika wake baada ya kujua kuwa hakukuwa na sababu ya kuivamia Kuwait. Mfano mwingine ni vita ya Afghanistan, Taleban walichukua nchi kiulaini baada ya majeshi ya USA kuondoka sababu majeshi ya serikali yalikuwa hayana morali tena pamoja na kupewa mafunzo mazuri na USA.
2. Wanajeshi wa Russia wanapata shida sana wakati huu wa winter, sababu ya kukosa mavazi imara ya kujikinga na baridi. Wanaona hawathaminiwi na serikali yao. Hilo pia limezidi kushusha morali na litachangia sana wanajeshi wao ku surrender kwa majeshi ya Ukraine.
3. Frontline ya Urusi kutokuwa na silaha Bora pia limeshusha morali ya wanajeshi. Kinachomsaidia Russia kwa sasa ni yale makombora yake kutokea mbali. Yanafifisha kasi ya frontline ya Ukraine kusonga kwa kasi inayotakiwa. Nina uhakika Ukraine wakipata system nzuri za kulinda anga eneo la frontline, warusi wengi wata surrender kipindi hiki cha winter.
4. Limited military supplies kwa majeshi ya Russia, linachangia zaidi kwa wanajeshi kukosa morali.
5. Pressure iliyopo ndani ya Russia kutokana na wanajeshi wengi kuuawa na kuanza kuharibiwa miundo mbinu ya wananchi wa Russia huenda linaleta matokeo chanya kwa Ukraine kushinda vita kabla ya winter kuisha. Wananchi wa Russia wameshajua kuwa hapakuwa na sababu ya msingi ya kuivamia Ukraine. Watoto wao wamepelekwa Ukraine kufa.
Wakati huu wa winter Ukraine watumie baridi hili kupambana kwa nguvu zote na wazidishe mashambulizi zaidi ili kumaliza vita hii mapema. Mobilized wengi wa Russia wana wakati mgumu wakati huu wa baridi sababu hawana uzoefu wa vita na wamepata mafunzo duni. Kundi hili litaongoza kwenye zoezi la ku surrender.
Ongezea : Kuuawa kwa kiongozi wa kundi la WagnerMtizamo wa hicho la makengeza kuhusu Vita ya Ukraine na Russia.

Naona kama wanaoondoka na Rader fuse zake, huwezi ukayatumia. Wajanja 😂😂😂Sasa ndo Warusi hawabebi mizigo.. Watapita wapi na utelezi? Tunajiokotea
View attachment 2424007View attachment 2424008View attachment 2424009
Slava Ukraine [emoji1255]Hiyu ni major Sergei Kadatsky, alikuwa na Wagner, kakukufa.. Sasa Urusi nani atawapa ripoti ya utendaji kazi wa Wagner?
View attachment 2423515View attachment 2423516
Slava Ukraine [emoji1255]Picha ya kwanza Warusi wakiwa wamwlala kwenye kituo cha treni ya kuja Ukriane. Picha ya Pili maiti zikiwa zimelala kwenye kituo cha traine sehemu ileile zikisubiri kupelekwa Urusi
View attachment 2423522View attachment 2423523
Hahahaaa!!! Wana hamu na sigara.Serhiy Cherevaty anakuambia Mobilized hawana mafunzo, Usiku wanawasha moto kwenye mahandaki na kuvuta Sigara hadharani bila kificho, kitendo kinachofanywa waonwe walipo kilahisi na majeshi ya Ukraine inapofika Usiku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2423949