👏👏👏safi sana Sweden. Mmeonyesha uzalendo na upendo mkubwa.Swiden wametoa vifaa vya kusaidia kipindi cha baridi, mifumo ya ulinzi wa anga, magari yanaohimili utelezi na mahema
View attachment 2424337
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👏👏👏safi sana Sweden. Mmeonyesha uzalendo na upendo mkubwa.Swiden wametoa vifaa vya kusaidia kipindi cha baridi, mifumo ya ulinzi wa anga, magari yanaohimili utelezi na mahema
View attachment 2424337
Wanaume wameamua kumaliza vita hii mapema nini 😂😂😂. Wanataka wale Christmas nyumbani nini.
Yeah. Ni sawa kabisa. Wananchi hao wapo sahihi kwani hao Mobilised wanatakiwa wawe Frontline na sio mitaani. Wanakuja mitaani kutisha -tisha raia na magwanda yao ya Marehemu.Mobilized wageukwa na wananchi wa kawaida huko Urusi. Wanapigwa wakionekama mitaani
View attachment 2424322
Mhh. Kumekucha. Mrussi ataimba na kuitikia mwenyewe.
Hakujua kwamba hajui Ukraine.💪Eti na huyu alikuja kuwashikisha adabu Ukraine 🤣🤣🤣
View attachment 2424479
Mrussi? Pro Russia mkuje huku mjionee wenyewe vituko vya Super power
Hana ujanja- Bye bye .Tutakuzika ukiwa hai. Mrusi anaambiwa🤣🤣🤣
View attachment 2424488
Mshahara wa dhambi ni Mauti. Hiki ndicho nyie Russia mlichokifuata Ukraine.