figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #9,121
Hawa ni wenzetu waliotekwa na Urusi. Ni baada ya kubadilishana wafungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwekwa kwenye jeneza hivo halafu unaambiwa unaenda kuzikwa, dish lazima lisome chenga, unahisi uko jehanamu tayari. 😂😂😂😂Tutakuzika ukiwa hai. Mrusi anaambiwa🤣🤣🤣
View attachment 2424488
Ndorinyo! HahahaaaHiyo chitu kwenye picha ni Ndorinyo nini?
Hope hakuna uhai uliopeteaJamaa wametushambulia sana. Kwenye miji ya Lviv, Ivano-Frankivsk, Kyiv, Vinnytsia, Mykolaiv, Cherkasy na Kherson. Missiles za kufa mtu
Kyiv wamepoteza maisha watu watatuHope hakuna uhai uliopetea
Oh; so sad. RIP .Kyiv wamepoteza maisha watu watatu