Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Air defense system zinafanya kazi vizuri ila bado hatuna za kutosha. Zilizopo zinalemewa. Hawa jamaa walenga hadi makazi ya watu.
20221123_183841.jpg
 
Hapa ni Urusi katika mji wa Biryuch, Mkoani Belgorod, na hivi ni Vifaru vya Urusi vilivyoharibiwa Ukraine ndo wanavipeleka hapa. Sababu vikiachwa uwanja wa Vita Ukraine inavichukua na kuvikarabati na kurudiahwa mzigoni. So now wameamua kuvivuta na kuvipekeka hapa
20221123_200524.jpg
20221123_200526.jpg
20221123_200528.jpg
20221123_200530.jpg
 
Hawa ni Defence Intelligence of Ukraine (GUR), hawapendi kuonekana sura zao, hapa iliwalazimu ili kuwashukuru waliowasaida drones za upelelezi. Hata hivyo huwezi mjua ni nani.. Wanaficha sura
 
Back
Top Bottom