OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Hawatafaulu katika hilo. Huyo ni mfa maji haishi kutapatapa.Hawa Warusi wanarusharusha Mabomu Kherson. Wanaona wivu maisha kuendelea kama kawa. Treni, masoko, hospital miundombinu imetengenezwa. Wanataka kuharibu tena ili Waukraine waishi kwa tabu