figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #9,001
Ipo hivi, Ukraine wana Frontline na Urusi wana Frontline (Ngome). Hivyo kila upande unataka kuvunja Frontline ya mwingine ili wapate njia. So hivi vifaru 8 vya Ukraine na Helkopta 2, vilienda kushambulia Frontline ya Urusi na kurudi mafichoni. So ukishambulia hivi, adui anajuq Silaha unayotumia na Sehemu ulipo. So lazima uhame mapema ili akipiga asipate kituMhhhh! Bora tu uone kwenye clip kuliko ukawepo hapo physically. Huo mtifuano na vifaru ni balaa. Sasa katika hilo adui ni yupi au hapo ndo adui (Mrussi) anapelekewa moto?