figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #9,181
Baada ya Urusi kubomoa daraja la Darivka ilo wasifuatwe waliko, limetengenezwa daraja la muda na Vifaru vinavuka kama kawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slava Ukraine [emoji1255]
Kikosi cha Drones huwa kinanipa raha sana. Kila mtu anauguliwa kivyake hakuna kuuguzana.Hapa ni Bakhmut, Mkoani Donetsk. Urusi wamelia na kusaga meno.. Drones zimewashughulikia hadi wakaomba Msamaha lakini hawajasamehewa. 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2427934