Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hapa ni Tver Urusi, wamepandisha bendera za Ukriane. Tver ipp Kaskazini mwa Moscow. Sijajua nini kinaendelea
20221126_172617.jpg
 
Kikosi cha Drones huwa kinanipa raha sana. Kila mtu anauguliwa kivyake hakuna kuuguzana.

Mbaya zaidi Drone zinawapiga kwenye makende, ndiyo maana kila anayepigwa lazima ajikunje kama jongoo. 😂😂😂

Urusi inabidi ilete watu wenye mabusha, ili hata Drones zikiwapiga ziishie kumwaga urojo tu, huku yeye akiendelea kudunda. 😂😂😂😂😂
Pengine kama Warussi wanaweza basi wavae boxer za bati au wakubali kubondwa tu.
 
Yale Magari yaliyooneka kule Tver Urusi, ni wanapropaganda wa Urusi wanatengeneza movie kujifanya ni Urusi. Wananchi wa Urusi walianza kushangilia wakijua ni Ukriane inaingia Moscow
 
Back
Top Bottom