figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #9,241
Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Boris Johnson, yupo anasaidia watu wa Kherson kushisha vifaa tiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo YouTube, sun, Guardian, BBC, CNN, Aljazeera, nk ndiyo taarifa za uhakika?!?!?!?!?!lee van cliff mohamedidrisa789 1954 Bukyanagandi Mathanzua na pro Russia wengine...
jikiteni kwenye huu uzi mpate taarifa za uhakika kuhusu huu mzozo kutoka vyanzo huru vya habari kuliko kukumbatia habari kutoka vyanzo vinavyounga mkono huu uvamizi kama RT, Sputnik na nyinginezo za mrengo huo.
MK254 kp kipanya44 Jackal dudus Nyamizi
Hili jukwaa la picha sio la mabishano. Kaanzisheni thread yenu ya kubishana. Msiniharibie thread wapuuzi wakubwa nyieKwa hiyo YouTube, sun, Guardian, BBC, CNN, Aljazeera, nk ndiyo taarifa za uhakika?!?!?!?!?!
This is a public arena...vinginevyo anzisha uzi wa familia yako tu....Hili jukwaa la picha sio la mabishano. Kaanzisheni thread yenu ya kubishana. Msiniharibie thread wapuuzi wakubwa nyie
Nimejiuliza mara mbili mbili, kama ni kweli haya ndo maneno aliyowaambia wazazi wa wanajeshi waliokuwa vitani;Putin kashaanza kujutia Ugaidi wake. Anajuta kuivamia Ukriane. Hakujua hakujua
View attachment 2428440
Hivi mpaka sasa Urusi hawajajua kuwa wa-Ukraine wanafahamiana sana kwa sasa hivi kwenye eneo husika, maana kila siku lazima waonane. Vita imewaunganisha zaidi, kukatwa kwa maji na umeme vimewaunganisha zaidi, kutafuta joto wakati huu imewaunganisha zaidi. Mahandaki yamewaunganisha zaidi.Hawa Warusi ni wapelelezi wenye kamera za kificho. Wamejifanya kwenda Odessa kupeleleza majeshi ya Ukraine yalipo, wakadakwa
View attachment 2428608