Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hapa ni Bakhmut. Wakishatangulia wapelelezi na askari wa Miguu ndo Vifaru na zana nzito zinafuata. Unapoona kifaru, jua pembeni kuna wapambe wanakilinda. Wengine wanakaa hata juu ya Kifaru
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa ni Bakhmut, Mkoani Donetsk. Urusi wamelia na kusaga meno.. Drones zimewashughulikia hadi wakaomba Msamaha lakini hawajasamehewa. 🀣🀣🀣🀣
View attachment 2427934
Kikosi cha Drones huwa kinanipa raha sana. Kila mtu anauguliwa kivyake hakuna kuuguzana.

Mbaya zaidi Drone zinawapiga kwenye makende, ndiyo maana kila anayepigwa lazima ajikunje kama jongoo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Urusi inabidi ilete watu wenye mabusha, ili hata Drones zikiwapiga ziishie kumwaga urojo tu, huku yeye akiendelea kudunda. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…