Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hili jukwaa la picha sio la mabishano. Kaanzisheni thread yenu ya kubishana. Msiniharibie thread wapuuzi wakubwa nyie
This is a public arena...vinginevyo anzisha uzi wa familia yako tu....
 
Putin kashaanza kujutia Ugaidi wake. Anajuta kuivamia Ukriane. Hakujua hakujua
View attachment 2428440
Nimejiuliza mara mbili mbili, kama ni kweli haya ndo maneno aliyowaambia wazazi wa wanajeshi waliokuwa vitani;
1. Kama ingekuwa ni kweli basi wangemrushia vikombe vya chai kwa kuwapandisha hasira, sababu ni maneno ya kejeli na mdhaha kwa wazazi
2. Kama kilichotafasiliwa ni kweli, na akina mama hawa ni wazazi kweli siyo wazazi fake basi, wangetoka ukumbini na kumwacha peke yake kwa kuwajaza hasira na kuwapa maneno ya dharau.
3. Kama maneno hayo ni kweli basi Putin atakuwa kashapata ukichaa.

4. Kama maneno haya ni kweli, kwa nini asingekuwa ameshaamuru majeshi yake yatoke Ukraine?

Kwa kifupi napata tabu ya kuamini kama kilichotafasiliwa kwenye hii clip ni kweli. Kama ni kweli basi Putin kashapata kichaa.
 
Hawa Warusi ni wapelelezi wenye kamera za kificho. Wamejifanya kwenda Odessa kupeleleza majeshi ya Ukraine yalipo, wakadakwa
View attachment 2428608
Hivi mpaka sasa Urusi hawajajua kuwa wa-Ukraine wanafahamiana sana kwa sasa hivi kwenye eneo husika, maana kila siku lazima waonane. Vita imewaunganisha zaidi, kukatwa kwa maji na umeme vimewaunganisha zaidi, kutafuta joto wakati huu imewaunganisha zaidi. Mahandaki yamewaunganisha zaidi.

Kwa vyovyote vile ukija mgeni lazima tukufahamu tu. Wa-Ukraine wako kwenye Alert mode. Lazima utakamatwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…