Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa Warusi ni wapelelezi wenye kamera za kificho. Wamejifanya kwenda Odessa kupeleleza majeshi ya Ukraine yalipo, wakadakwa
View attachment 2428608
Pouwa kabisa. Sasa watasema alowatuma yuko wapi na mengineyo mengi lazima waseme- vinginevyo hawatarudisha majibu kwa aliyewatuma na kama kuna Taarifa walizokwisha kusanya na kurusha au kupeleka waseme
 
Warusi mnakuja Ukraine kuua watu wasio na hatia. Lazima mfe na risasi shingoni iwe kumbukumbu kwa wajukuu wenu wajue babu zao walivyo na roho mbaya. Washenzi wakubwa
View attachment 2428954
Hajafa huyo, anasali ili Drone asidondokee mahala hapo 😂😂😂😂😂

Drone kashafanya yake, ndo maana kajikunja hivo😂😂😂
 
Warusi mnakuja Ukraine kuua watu wasio na hatia. Lazima mfe na risasi shingoni iwe kumbukumbu kwa wajukuu wenu wajue babu zao walivyo na roho mbaya. Washenzi wakubwa
View attachment 2428954
Ndio. Naunga mkono hoja. Walidhani Ukraine ni ardhi na mali isiyo na mwenyewe ni ya kujichukulia tu. Sasa heshima itakuwapo.
 
Hajafa huyo, anasali ili Drone asidondokee mahala hapo 😂😂😂😂😂

Drone kashafanya yake, ndo maana kajikunja hivo😂😂😂
Aaaa! Huyo salio limeisha hana hata ya kubipu. 😁 😁 😁
 
Soma kichwa cha habari ili ujue contents gani za kujadili sio unaleta malumbano yasiyo na msingi.
Ni kweli mkuu. Hili ni jukwaa la wazi/kijamii lakini ni vizuri kuzingatia hoja au lengo la uzi uliopo na ndio unaoendelea kujadiliwa/kuchangiwa. Halafu tukumbushane tu kwamba sio lazima mtu uchangie. Unaweza kusoma contents za wenzako na kuenjoy wanavyojibizana etc. Sio vizuri kulumbana.
 
Hoja yangu....JF ni public kwa hiyo vumilia tu...vinginevyo anzisha kitu kwa familia yako tu...
Ni kweli Jf. ni public arena -hilo halina ubishi. Pia kuvumilia kunatakiwa kwani sio hoja zote zitakubaliwa na wanaozisoma - ILA hoja iwe ni within the context of thread. Kwa mfano Uzi huu ni kwa ajili ya mafanikio ya Ukraine (sio mapungufu au kufeli) katika kupambana dhidi ya Uvamizi wa Mrussi. Kwa mantiki hiyo waweza kusema chochote alimradi tu hutoki nje ya lengo hilo. (Samahani lakini kama nimekukwaza)
 
Bakhmut nadhani Urusi inawatoa wanajeshi wao Kafara. Wanakufa ba hawataki kuretreat. Wanakufa sana. Mji unanuka mizoga ya Urusi
View attachment 2429025View attachment 2429027View attachment 2429028View attachment 2429029
Aisee; Putin iko akili nyingi sana ya kijeuri na kibabe.. ona Amechekechaaa akaona hao askari wote wanamdai malipo na kwa sasa Serikali imefulia ile mbaya vita imemfilisi kila kitu yani ni kalas kabisa. Sasa anachofanya ni kuwapeleka hapo ili wafe na asevu kudaiwa na tena ili aepukane na gharama za mazishi anaitelekeza mizoga yao huko-huko Bakhmut. Kwa hiyo ameua ndege wawili kwa jiwe moja. Dah! Putin mshenzi kweli kweli.
 

Nadhani umejikweza mwenyewe...katika mijadala huwezi ukaji-limit kihivyo....Kwanza mrusi siyo mvamizi...Walioandaa mpango wa kuivamia Russia ni Ukraine wakichagizwa na mabwana zao West na NATO.. Alichofanya Russia ni pre-emptive strike...Hawa Ukraine na NATO yao ni lazima wachakazwe tu ili waache kutumiwa kibwege..
 
Empty brain. You know nothing about this war.
 
Hivi kumbe ni Ukraine iliivamia Russia??! Kwa mantiki hiyo, ni Ukraine ndio anatakiwa ayaondoe majeshi yake aliyoyaingiza kibabe kuvamia na kutwaa ardhi ya Russia. Ina maana ww peke yako ndio huitambui wala hukubaliani na ramani rasmi iliyopo ya nchi ya Russia. Kama ndio hivyo, basi ww unao uhuru wa kuamini kama unavyodai "Walioandaa mpango wa kuivamia Russia ni Ukraine wakichagizwa na mabwana zao West na NATO........" Na ikiwa ndo hivyo, ingekufaa uzingatie kwamba uzi huu sio wa pro-Russia. Usilazimishe bali fuatilia upo uzi wenu tena mkubwa tuu huko. Labda iwe tena na huko wamekuambia vinginevyo.
 
Wanafumuliwa mafuvu kabisa. Sijui wameweka nini Bakhmut, hilo swali huwa najiuliza kila mara. Wanaitamani sana
Yani haiingii akilini bro; Au labda hao askari wa Urussi wamelishwa kitu(Chemicals/mizizi) inayowafanya wasijitambue bali wawe ni kama mazombie fulani hivi yan kwenye memory card kichwani mwao hakuna App ya kuretreat. Dah! wataisha kizembe hao.
 
Huma uelewa wowote ule kuhusu chanzo cha mgogoro wa Ukraine...Nyamaza ..Kaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…