Hivi kumbe ni Ukraine iliivamia Russia??! Kwa mantiki hiyo, ni Ukraine ndio anatakiwa ayaondoe majeshi yake aliyoyaingiza kibabe kuvamia na kutwaa ardhi ya Russia. Ina maana ww peke yako ndio huitambui wala hukubaliani na ramani rasmi iliyopo ya nchi ya Russia. Kama ndio hivyo, basi ww unao uhuru wa kuamini kama unavyodai "Walioandaa mpango wa kuivamia Russia ni Ukraine wakichagizwa na mabwana zao West na NATO........" Na ikiwa ndo hivyo, ingekufaa uzingatie kwamba uzi huu sio wa pro-Russia. Usilazimishe bali fuatilia upo uzi wenu tena mkubwa tuu huko. Labda iwe tena na huko wamekuambia vinginevyo.