Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Nimependa sana hayo majibu. Yanajitoshereza. πŸ‘ŒπŸ‘Œ
 
Warusi wamekomaa kwelikweli na wanasogea mdogomdogo
Mara ya mwisho nakumbuka ulisema wanaingia katikati ya mji. Nikakuuliza wanatokea wapi hujajinijibu.

Bakhmut kuna mapambano Makali kama ilivyo sehemu nyingune Ukriane. Tungezidiwa tungeretreat. Bado Frontline ya ukraine ipo vizuri kuanzia logistics
 
Slava Ukraine
 
Musk subiri NASAMS zingine 6 zifikè Ukraine ndo upeleke ushauri wako kwa Putin. Kwamba, you negotiate with the invader !!!

Ukrainian have to defend their territories including Crimea by all means.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…