figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #9,381
Zaidi ya MLRS himars na m270 50 zipo Ukraine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My favourite Rocket system 😂😂😂
Ukrainian have to defend their territories including Crimea by all means.Musk subiri NASAMS zingine 6 zifikè Ukraine ndo upeleke ushauri wako kwa Putin. Kwamba, you negotiate with the invader !!!
Ukrainian have to defend their territories including Crimea by all means.
Halafu anakuja njemba mmoja hapo juu anatulisha matango pori eti " Mrussi anasogea mdogo-mdogo" Hahahaa.Angalia Urusi wanavyo pelekewa Moto Bakhumut
View attachment 2432954
Ndiyo. Wanaume ngangari kweli kweli yan hata sauti zao zinatisha. Baada ya hiyo warm-up nadhani wataelekea kutoa chanjo kwa Mrussi. Very well motivated fighters. 💪 💪 💪 🔨
Yaani hadi raha. "Wazee wa Drones" Hii kitu kwa Mrussi ni kama shubiri mwitu -Haimezeki lakini hawa wazee wanawamezesha Warussi kwa lazma watake-wasitake. Juzi kati hapo nilimwona Mrussi mmoja kwenye handaki kamezeshwa hiyo kitu hadi dish likayumba mazima akawa anachezesha miguu hapoo dah! cjui ndo ilikuwa ngoma gani vile mara paap! akaongezewa tena kitu chap na akili ikamkaa sawa.😆😆Wanajeshi wa Ukriane wakiwacheka Urusi baada ya kona wanaingia kwenye mtego. Hapa ni Bakhumut. Waliwasubiri muda mrefu. Wazee wa drones
View attachment 2433339
Njaa, Njaa,Njaa mwanangu. Super power anaiba hadi kuku na bata.- ni aibu iliyoje!Urusi wakiiba Bata na Kuku kwenye makazi ya raia
View attachment 2433361