Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Zaidi ya MLRS himars na m270 50 zipo Ukraine
20221202_084753.jpg
 
Musk subiri NASAMS zingine 6 zifikè Ukraine ndo upeleke ushauri wako kwa Putin. Kwamba, you negotiate with the invader !!!

Ukrainian have to defend their territories including Crimea by all means.
Ukrainian have to defend their territories including Crimea by all means.
Exactly YES. Mind U, By hooks and crooks Russian soldiers must be ejected out of Ukrainian territories. That's all.
 
Wanajeshi wa Ukriane wakiwacheka Urusi baada ya kona wanaingia kwenye mtego. Hapa ni Bakhumut. Waliwasubiri muda mrefu. Wazee wa drones
View attachment 2433339
Yaani hadi raha. "Wazee wa Drones" Hii kitu kwa Mrussi ni kama shubiri mwitu -Haimezeki lakini hawa wazee wanawamezesha Warussi kwa lazma watake-wasitake. Juzi kati hapo nilimwona Mrussi mmoja kwenye handaki kamezeshwa hiyo kitu hadi dish likayumba mazima akawa anachezesha miguu hapoo dah! cjui ndo ilikuwa ngoma gani vile mara paap! akaongezewa tena kitu chap na akili ikamkaa sawa.😆😆
 
Back
Top Bottom