Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huko Urusi Mji mkuu wa Miscow, Moto unawaka na wameleta Magari 30 ya zimamoto umegoma kuzima🀣🀣
Legion wanajitahidi kumdhoofisha na kumpanikisha Putin. Hawashikiki na wanajua wapi wafanye tukio..
 
Good morning
20221203_071324.jpg
20221203_071109.jpg
20221203_070657.jpg
20221203_070644.jpg
20221203_070703.jpg
 
Himars ilifanya vitu vyake. Bila himars Urusi wangetunyanyasa sana. HIMARS dakika 0 inaweza ikaondoka na base mbili za Urusi
View attachment 2433865
Hizi 20 HIMARS zimeleta heshima kubwa sana kwa Ukraine. Zikifika na zingine 18 zinazotakiwa kuwa delivered ili jumla kuwe na HIMARS 38, maghala ya Urusi yatapotezwa kabisa. Kwa sasa maghala yao wameweka 100Km na zaidi kutoka frontline.

Siku USA & NATO wakikubali kutoa ATACMS Missiles, maghala na military base zao watahamishia Urusi.
 
Back
Top Bottom