Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

20221204_082647.jpg
20221204_082651.jpg
 
Angalia Urusi ilivyobomoa nyumba za Raia wa Bakhumut. Frontline wanaogopa.. Wanatumia Wananchi kama ngao sababu wanajua Ukraine haiwezi kuua wananchi wake
View attachment 2434978
Dah! Hivi kwa nini isiwe kwamba Warussi wanaodakwa uraiani kazi ikawa ni moja tu ya kuwabomoa vichwa vyao kama wao wanavyobomoa-bomoa/kuharibu nyumba za raia? Naamini kwamba Wao wametumwa kupigana/kupambana na askari Frontline ya Ukraine na sio kazi ya kubomoa makazi ya raia. Kwa kuwa wamekiuka Taratibu za kivita,basi na wao wakidakwa hawastahili kutendewa kwa mujibu wa taratibu za kivita. Nawakubali sana AZOV.😳😳🔨
 
Bakhmut ni piga nikupige. Juzi wenzetu wa Georgia waliwekwa mtubkati wakashambuliwa kutoka pande nne. Ukraine imeongeza kikosi kazi huko.. Urusi hataki kuiachia. Video ni kikosi kazi cha Ukraine
 
Back
Top Bottom