figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #9,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbolea ya Ukraine hiiHawa jamaa wanaofia ugenini wanarudishwa kweli kwao kuzikwa ?
Slava Ukraine [emoji1255]Hii Battalion ya Ukraine inaitwa ADAM. Hapa wanaongezewa Mafunzo ya kupambana kipindi cha baridi
View attachment 2435163View attachment 2435164View attachment 2435165View attachment 2435166View attachment 2435167View attachment 2435168View attachment 2435169View attachment 2435170View attachment 2435171View attachment 2435172View attachment 2435173View attachment 2435174View attachment 2435175View attachment 2435176
Dah! Hivi kwa nini isiwe kwamba Warussi wanaodakwa uraiani kazi ikawa ni moja tu ya kuwabomoa vichwa vyao kama wao wanavyobomoa-bomoa/kuharibu nyumba za raia? Naamini kwamba Wao wametumwa kupigana/kupambana na askari Frontline ya Ukraine na sio kazi ya kubomoa makazi ya raia. Kwa kuwa wamekiuka Taratibu za kivita,basi na wao wakidakwa hawastahili kutendewa kwa mujibu wa taratibu za kivita. Nawakubali sana AZOV.😳😳🔨Angalia Urusi ilivyobomoa nyumba za Raia wa Bakhumut. Frontline wanaogopa.. Wanatumia Wananchi kama ngao sababu wanajua Ukraine haiwezi kuua wananchi wake
View attachment 2434978
Mhh! Warudishwe kwa gharama ya nani?Hawa jamaa wanaofia ugenini wanarudishwa kweli kwao kuzikwa ?
Kwenye hiyo target model, napendekeza # 10 ikifuatiwa # 7 then # 2 lower part ziwe ni kipaumbele . 😆 🏃♂️Hii Battalion ya Ukraine inaitwa ADAM. Hapa wanaongezewa Mafunzo ya kupambana kipindi cha baridi
View attachment 2435163View attachment 2435164View attachment 2435165View attachment 2435166View attachment 2435167View attachment 2435168View attachment 2435169View attachment 2435170View attachment 2435171View attachment 2435172View attachment 2435173View attachment 2435174View attachment 2435175View attachment 2435176
Slava Ukraine [emoji1255]Hawa walikuwa Mafunzoni. Wamehitimu na warudi na vifaa vyote vya Frontline ikiwemo nguo za kuzuia baridi
View attachment 2436071View attachment 2436072
Mungu mkali mnooo. Anaua bila hatia raia wa UkrainePutin awe Makini sana. Hawa wazungu watamuua. Hii ya kuumwa mara kwa mara si dalili nzuri
View attachment 2436456