figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #9,401
Hapa ni Bakhumut, Urusi waliona wamejificha. Dakika mbili si nyingi wakapoteana🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap! Hii yote ni kwa jili ya kumshikisha adabu fashisti Mrussi ili ajue namna iliyo njema ya kuishi na watu. Bastard Putin son of a bitch.
Asante sana. Ila nahisi hizi picha tulishazipata mapema tukazipost hapa. Mwambie akutumie za kutoshakutoka kwa rafiki yangu kwao ukrainView attachment 2433370
View attachment 2433372
View attachment 2433373
View attachment 2433375
View attachment 2433376
Hahahaa. Jamaa anatimua mbio hizo we acha tu utadhani ni Kipchoge Keino enzi zake.Hapa ni Bakhumut, Urusi waliona wamejificha. Dakika mbili si nyingi wakapoteana🤣🤣🤣
View attachment 2433379
Wanarudishwa tena frontline. Na hapo ndio itakuwa mwisho wao.Huko waendapo wanapelekwa jela au wanarudishwa frontline
Nawakubali sana wapigananji wa Ukraine. Wanamoyo wa ubinadamu sana. Yan hata mateka wanampa sigara kumwonesha wanamtambua kama binadamu mwenza japokuwa alikuja kuwaua Ukraine.-Lakini yy huyu katumwa tu, hawana ugomvi naye ila mbaya wao ni Putin izraeli mtoa roho aliyeamuru uvamizi ufanyike.Warusi wakidakwa wanakuwa wapole kama wanaendesha misa ya mazishi
View attachment 2433408
Nawaona akina mama wako frontline wako fit. Mungu awabariki akina mama mliojitoa kuitetea nchi yenu.Frontline
View attachment 2433293
Njemba tumemwomba alete ushahidi, akawa mpole. Kaonyesha uungwana kwa kuchutama 😂😂😂Halafu anakuja njemba mmoja hapo juu anatulisha matango pori eti " Mrussi anasogea mdogo-mdogo" Hahahaa.
Huyo bata kabla hawajamaliza kumla na wao watakuwa wameshaliwa na Drone. 😂😂😂Urusi wakiiba Bata na Kuku kwenye makazi ya raia
View attachment 2433361
Huenda alikuwa mmakonde huyo. Alikuwa anacheza ngoma ya kimakonde kwenye handaki 😂😂😂😂Yaani hadi raha. "Wazee wa Drones" Hii kitu kwa Mrussi ni kama shubiri mwitu -Haimezeki lakini hawa wazee wanawamezesha Warussi kwa lazma watake-wasitake. Juzi kati hapo nilimwona Mrussi mmoja kwenye handaki kamezeshwa hiyo hadi dish likayumba mazima akawa anachezesha miguu hapoo dah! cjui ndo ilikuwa ngoma gani vile mara paap! akaongezewa tena kitu chap na akili ikamkaa sawa.😆😆
Warusi kwa mbio nawaaminia. 😂😂😂😂 swala haoni ndani.Hapa ni Bakhumut, Urusi waliona wamejificha. Dakika mbili si nyingi wakapoteana🤣🤣🤣
View attachment 2433379
Putin atakuwa Kaua Generals and Colonels zaidi ya 200 kwa maamuzi ya kijingaColonel Davydov Denis, commander of the regiment of radioactive, chemical and biological protection, was killed in Ukraine
View attachment 2433413
AminaNawaona akina mama wako frontline wako fit. Mungu awabariki akina mama mliojitoa kuitetea nchi yenu.