figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #9,481
Hivi Ukraine naye ameeanza kuwapelekea moto moscow,au ni wenyewe wanachomana moto?Hapa ni St. Petersburg Bazaar huko Urusi
View attachment 2435160
Kazi kaziVifaa vya kivita vya Russia vilivyokamatwa Kharkov. Jeshi la Ukraine liliweza kukamata RGP-7V2, RPG-22s, RPG-30s.
View attachment 2158029
Urusi kuna kikundi ambacho hakikubali Utawala wa Putin, kimekuwepo miaka mingi sema safari hii kumepata uwezeshaji. kinaitwa Freedom of Russia Legion/Liberty of Russia Legion na huwa kina mipango mikubwa ya kuharibu Viwanda na kuinyong'onyesha Urusi. Wengi wapo Donbas wanaisaidia Ukraine na Wanasaidia Upelelezi. Ndo maana ni rahisi kujua Putin anaumwa, Kuna Silaha fulani zimekuja Ukraine. Wametapakaa Urusi njima, Wapo wanajeshi, Wahandisi, watu wa IT, Walimu Wakulima nkHivi Ukraine naye ameeanza kuwapelekea moto moscow,au ni wenyewe wanachomana moto?
Sio wazungu watakao muua ni MUNGU wa Israel ndie atamuua, na hakika atakufa huu mwakaPutin awe Makini sana. Hawa wazungu watamuua. Hii ya kuumwa mara kwa mara si dalili nzuri
View attachment 2436456
Ah! Bhana; ajiondokee zake tu amekinaisha sasaPutin awe Makini sana. Hawa wazungu watamuua. Hii ya kuumwa mara kwa mara si dalili nzuri
View attachment 2436456
Napendekeza jaribio la kwanza target iwe ni Moscow mjini. 💪 💪 💪Ukraine wanamalizia kutengeneza drone ya kisasa yenye range ya km1000 na uzito wa kg 75. Ni balaa
View attachment 2436795
View attachment 2436809
Kwa kweli mzee Putin ana wakati mgumu sana.Urusi kuna kikundi ambacho hakikubali Utawala wa Putin, kimekuwepo miaka mingi sema safari hii kumepata uwezeshaji. kinaitwa Freedom of Russia Legion/Liberty of Russia Legion na huwa kina mipango mikubwa ya kuharibu Viwanda na kuinyong'onyesha Urusi. Wengi wapo Donbas wanaisaidia Ukraine na Wanasaidia Upelelezi. Ndo maana ni rahisi kujua Putin anaumwa, Kuna Silaha fulani zimekuja Ukraine. Wametapakaa Urusi njima, Wapo wanajeshi, Wahandisi, watu wa IT, Walimu Wakulima nk
View attachment 2436725
Watu wakikuchoka ujue hakuna rangi utaacha kuona. Utahujumiwa kutoka nje na ndani - hata wale wateule wako/watu wa karibu nawe usishangae nao wakakufanyizia.Hivi Ukraine naye ameeanza kuwapelekea moto moscow,au ni wenyewe wanachomana moto?
Huo ni Ushujaa wa kiwango cha juu sana.Hawa ni Wananchi wa Luhansk. Wamenyongwa na Urusi baada ya kukataa kujiunga na jeshi la Urusi linalopambana Ukraine. Walisema hatuwezi kuua watoto wetu
View attachment 2436593View attachment 2436594
Mrussi ataachia tuu atake-asitake.Bakhmut ni piga nikupige. Juzi wenzetu wa Georgia waliwekwa mtubkati wakashambuliwa kutoka pande nne. Ukraine imeongeza kikosi kazi huko.. Urusi hataki kuiachia. Video ni kikosi kazi cha Ukraine
View attachment 2436582
Slava Ukraine [emoji1255]Hawa ni Wananchi wa Luhansk. Wamenyongwa na Urusi baada ya kukataa kujiunga na jeshi la Urusi linalopambana Ukraine. Walisema hatuwezi kuua watoto wetu
View attachment 2436593View attachment 2436594
Slava Ukraine [emoji1255]Heshima za mwisho zikitolewa kwa wanajeshi 5 wa Georgia wa kujitolea waliokufa Bakhmut
View attachment 2436587
Slava Ukraine [emoji1255]Pamoja na Mikwara yote, bado Wananchi wa Ukraine wanazui Magari ya Urusi kwa mikono. Haya ni Magari ya Ughavi ya Urusi
View attachment 2436848