Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hivi Ukraine naye ameeanza kuwapelekea moto moscow,au ni wenyewe wanachomana moto?
Urusi kuna kikundi ambacho hakikubali Utawala wa Putin, kimekuwepo miaka mingi sema safari hii kumepata uwezeshaji. kinaitwa Freedom of Russia Legion/Liberty of Russia Legion na huwa kina mipango mikubwa ya kuharibu Viwanda na kuinyong'onyesha Urusi. Wengi wapo Donbas wanaisaidia Ukraine na Wanasaidia Upelelezi. Ndo maana ni rahisi kujua Putin anaumwa, Kuna Silaha fulani zimekuja Ukraine. Wametapakaa Urusi njima, Wapo wanajeshi, Wahandisi, watu wa IT, Walimu Wakulima nk
1670244266163.png
 
View attachment 2436725
Kwa kweli mzee Putin ana wakati mgumu sana.
 
Back
Top Bottom