Waliokuwepo wameisha. Hahahaaa. Safi sana Ukraine.
Huenda hawa ni mobilized. Warusi wanaojua shughuli ya Drones huwa wanatoka mbio kama swala. Hata Nyambui au Kipchoge hawaoni ndani😂😂😂😂
Kazi inaendeleaNa leo Russia kambi yao imepigwa kiberiti
Slava Ukraine [emoji1255]Hapa chini ni picha za rais Zelensky alipotembea Frontline wa Donbas. Amewatia moyo wanajeshi wapambanaji
View attachment 2437951View attachment 2437952View attachment 2437953View attachment 2437954
Leo tena nini?Leo tena